Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,324
Ole wako upige DOCHI....NAONDOKA NA MPIRA WANGU!!
Umenikumbusha kuna siku nilipiga "dochi "ukaondoka na uchucha wangu sitokaa nisahau
jaman huo mpira enzi zetu tunacheza lede ukibabuliwa mgongon au uson dah ! nakumbuka nilikua nakwepa mipira ht km upo nusu mita kwangu dah !sasa hv mhhh ht mita 100 unanilenga tu dadek