Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
Ole wako upige DOCHI....NAONDOKA NA MPIRA WANGU!!
Umenikumbusha kuna siku nilipiga "dochi "ukaondoka na uchucha wangu sitokaa nisahau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jaman huo mpira enzi zetu tunacheza lede ukibabuliwa mgongon au uson dah ! nakumbuka nilikua nakwepa mipira ht km upo nusu mita kwangu dah !sasa hv mhhh ht mita 100 unanilenga tu dadek