Hapo sawa (makubwa yameanza)ktk swala la ovatar yoko .jaman huo mpira enzi zetu tunacheza lede ukibabuliwa mgongon au uson dah ! nakumbuka nilikua nakwepa mipira ht km upo nusu mita kwangu dah !sasa hv mhhh ht mita 100 unanilenga tu dadek
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dooh! Pole sana mkuu.Umenikumbusha kuna siku nilipiga "dochi "ukaondoka na uchucha wangu sitokaa nisahau
Aisee.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nilikuwa nikigoma kuingia uwanjani watu wanaandamana hata mwenye mpira anaweza kisepa na mpira wake
Asante mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dooh! Pole sana mkuu.
Hii ndio imefanya soka letu lidumae unapiga unalenga goli mpira unaenda kushoto
Duh! 1976 hiyo kwetu ilikuwa maarufu kama sembo ilikuwa ni shida unatoroka nyumbani kwenda kusakata sembo dingi nae alikuwa mtemi kweli mkirudi lazima mchezee bakora ila hatukomi nilikuwa napenda mpira kuliko hata kula zamani sana ama kweli ya kale ni dhahabu
Daa! aisee hii kitu siwezi isahau mzee alikuwa anamaind sana maana hata kula nilikuwa sikumbuki nikiwekwa kiungo mmaliziaji pale na mashoto yangu nilikuwa najiona kama messi vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daa! aisee hii kitu siwezi isahau mzee alikuwa anamaind sana maana hata kula nilikuwa sikumbuki nikiwekwa kiungo mmaliziaji pale na mashoto yangu nilikuwa najiona kama messi vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Enzi ilikuwa nikipiga kipute cha kufa mtu! Winga teleza, nikitupwa 7 twende nikitupwa 11 twende, napanda na kushuka na guu langu la dhahabu {mashoto}[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] Kwenye penalti kipa lazima nimpeleke sokoni[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Duh kila mtu alikuwa fundi....kama mimiDaa! aisee hii kitu siwezi isahau mzee alikuwa anamaind sana maana hata kula nilikuwa sikumbuki nikiwekwa kiungo mmaliziaji pale na mashoto yangu nilikuwa najiona kama messi vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh kila mtu alikuwa fundi....kama mimi
Hapo sawa (makubwa yameanza)ktk swala la ovatar yoko .
Kila mtu na alipokulia, kwani sote hatujaishi mtaa mmoja wala sote hatujasoma shule moja, binafsi nilipokuwa mdogo kipindi hicho nilikuwa napendelea mpira na kuogelea tu[emoji106]Duh kila mtu alikuwa fundi....kama mimi
Ok kwahio JF kuna mafundi wa maeneo mbalimbali...kwahio maanake ni ile ile kila mtu(jf) fundi?!Kila mtu na alipokulia, kwani sote hatujaishi mtaa mmoja wala sote hatujasoma shule moja, binafsi nilipokuwa mdogo kipindi hicho nilikuwa napendelea mpira na kuogelea tu[emoji106]