MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,661
- 41,816
watu zaidi ya 700 wameufungua huu uzi mpaka mtu kachangia maana huu mchezo aliupendaDuh kila mtu alikuwa fundi....kama mimi
watu zaidi ya 700 wameufungua huu uzi mpaka mtu kachangia maana huu mchezo aliupendaDuh kila mtu alikuwa fundi....kama mimi
Watu bilioni wanapenda soka, ila mafundi wako wachache.watu zaidi ya 700 wameufungua huu uzi mpaka mtu kachangia maana huu mchezo aliupenda
Pole. Fanya mazoezi swahiba wangujaman huo mpira enzi zetu tunacheza lede ukibabuliwa mgongon au uson dah ! nakumbuka nilikua nakwepa mipira ht km upo nusu mita kwangu dah !sasa hv mhhh ht mita 100 unanilenga tu dadek
ila haimaanishi kwamba hawacheziWatu bilioni wanapenda soka, ila mafundi wako wachache.
Wewe unaelewa nini mtu akisema fundi? Hata mimi naamini ningefuata njia ya soka ningekuwa mchezaji mzuri sana.ila haimaanishi kwamba hawachezi
kuna watu wanajua ila hawakutoka kimpira
Ila usingekaa umfikie Messi. Niamini tu.Wewe unaelewa nini mtu akisema fundi? Hata mimi naamini ningefuata njia ya soka ningekuwa mchezaji mzuri sana.
Huko mbali sana....Messi ni zaidi ya mchezaji mzuri!!Ila usingekaa umfikie Messi. Niamini tu.
kweli kabisaNilikuwa goal keeper mzuri sana.
sielewi chochoteWewe unaelewa nini mtu akisema fundi? Hata mimi naamini ningefuata njia ya soka ningekuwa mchezaji mzuri sana.
Mmoja mmoja anaondoka, mechi inaisha kutokana na uchache. Wenye wazazi wakali haya, wa kwenda kufungua mbuzi haya, wanao wahi kuchota maji...![emoji3] [emoji3] viatu marufuku!apo mpambano kuisha mpaka giza liamulie
Yaani wewe!!! [emoji85] [emoji85] [emoji85]kweli kabisa
mpaka leo bado unadaka magoli yangu
Sawa.sielewi chochote
nimefanya nini baby ??Yaani wewe!!! [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sidaki tena!!nimefanya nini baby ??
labda bado anatafakari atarudi na id ipi.Mkuu si ulisema unaondoka JF