Enzi hizo!

Enzi hizo!

9d38a22bc4bb602c03b7795a934d85f7.jpg
Zundu kipind hicho.
Tunaanza saa 8 mchana mpka 12 jion.
 
Madam anataka talaka.
Ili umfaidi peke yako eeeee.
Talaka nitachukua nikiona amechana mbeleko.
Ila bado kwanza nakomaa na jiji nae.
Afu mwenza, kule umeniambia peke yako humuwezi....huku unatishia nyau!!!
Am watching youuuuu! !!!!!
 
We si ulitishia kumuacha mwenyewe!!!
 
Hahahaaa!! Mke mwenza mbona unanisingizia jamani!! We daka tu!
Mwenza ushaanza visa vyako eeee.
Ukiamua kuwa na mtoto ujue uache shughuli zako zooote na ufunge kibwebwe miaka 4 bila kuruka majoka.
Kisa cha kwenda kunukisha watu maziwa Club next door inahusu mwenza.
We daka mwenyewe.....nitakusaidia.
Mie bado napepea viwanjani kwanza
 
We si ulitishia kumuscha mwenyewe!!!
Unajua kuna wanaume wengine mpaka umtie stata kwanza.
Unapima nguvu ya moyo wake.
Ila kwa huyu...kauzu huyo.
Acha tukomae nae hivohivo
 
Mwenza ushaanza visa vyako eeee.
Ukiamua kuwa na mtoto ujue uache shughuli zako zooote na ufunge kibwebwe miaka 4 bila kuruka majoka.
Kisa cha kwenda kunukisha watu maziwa Club next door inahusu mwenza.
We daka mwenyewe.....nitakusaidia.
Mie bado napepea viwanjani kwanza
Ndio maana siyadaki magoli, asubirie kwanza kwakweli.
 
Back
Top Bottom