Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,578
Tutakuja kushtuka, kam-mobetto mtu huko.Ndio maana siyadaki magoli, asubirie kwanza kwakweli.
Wanaume hawa wanapendeza wakiwa ndani ya suruali tu.
Tutakuja kushtuka, kam-mobetto mtu huko.Ndio maana siyadaki magoli, asubirie kwanza kwakweli.
dah! hii kitu kwetu tulikuwa tunaita sembo.
Jina gozi ilitokana na kipindi hicho mpira unatengenezwa na ngozi ya ng'ombe siku hizi inatebgenezwa kwa plastikihahaa alafu hii ya upepo tulikuwa tunaiita ''gozi''
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenivunja mbavu eti hata mita 100 unalengwa!jaman huo mpira enzi zetu tunacheza lede ukibabuliwa mgongon au uson dah ! nakumbuka nilikua nakwepa mipira ht km upo nusu mita kwangu dah !sasa hv mhhh ht mita 100 unanilenga tu dadek
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenivunja mbavu eti hata mita 100 unalengwa!
Ukiwa mdogo hata bila mazoezi uko fit tu, huku utu uzimani ni changamoto mazoezi ni muhimu kujiweka active.hahahaha acha tu ! nimekuwa mzito hata sijielewi !lol!ninaanza zoez la kuswim
Hahahaaa! Hilo tu...umepata. Nimeswim sn utotoni..baadae advance shule ikawa jirani na ziwa, full kuogelea. Wewe jiandae tu uwe na pumzi ya kutosha.hahahaha nacheka km mazuri !yes ni mazuri naanza zoeaz la kuswim na Ngariba1 anifundishe kuswim walau niwe active aisee
Hahahaaa! Hilo tu...umepata. Nimeswim sn utotoni..baadae advance shule ikawa jirani na ziwa, full kuogelea. Wewe jiandae tu uwe na pumzi ya kutosha.
Haaha[emoji23] kwetu tunaita sokolela[emoji23][emoji23][emoji23]Ole wako upige DOCHI....NAONDOKA NA MPIRA WANGU!!
Hahaha! Usisahu na dawa ya msulinaandaa vifaa tiba tu hapa siku nikizama !