Enyi wanaume msiwe na tabia kama za mume wangu

HATUJAWAH KUWAJOPA KWANI WKT TUNAOANA MIMI NA YEYE TULIKUA WAAJIRIWA NA TULIPANGA JINS YA KUTUMIA HELA NA AKIBA TULIIDUDULIZA MPAKA TUKAWEZA KUFUNGUA BIASHARA NA KUJENGA, ninavyoelewa jambo jingine lililowaudhi mawifi ni WALIKUA WANANILAZIMISHA NIACHE KAZI NA NIMUACHE MUME WANGU MJINI NIKAKAKAE MACHAME NA MAMA MKWE jambo ambalo nililikataa pia

Usikubali hata siku moja kucha kazi kwa simple reasons kama hizo? Hebu jiulize, wewe umepanga na mungu? Ukiacha kazi na kwenda Machame na mumeo akafa itakuwaje? Huna ahadi na Mungu.

Unayajua yanaowapa wanawake wanaowaacha waume zao mjini na kwenda kusihi Moshi vijijijni? hao wifi zako wameaacha waume zao mjini na kwenda kijijini?

Sungura Mpole, fungua macho!
 
Sasa bintri Sungura, hapo amua kuwa ngangari. Kaa kimkakati kwanza na umuwashie moto huyo mumeo! Usidhani utapewa medali ya kunyamaza zaidi ya sukari na presha. Muambie hao ni dada zake yeye, si awape kila wanachotaka? Kwa nini iwe jukumu lako wewe kuwatimizia dada zake? Hebu jisimamoie bwana, aaah!
mwanzo niliumia sn nilitaka kuondoka lkn nikamwangalia mwanangu nikaangalia na haliyng nikajua nitakapojaribu kuondoka nitapoteza haki zt za wanangu ambapo nilipata shida sn kuzitafuta
 
kwanza hongera kwa kuwa mjamzito MUNGU AKUJALIE UJIFUNGUA SALAMA MTOTO MWENYE AFYA TELE ~**~2. USIJE UKAACHA KAZI UKAENDA KUISH NA MAMA MKWE KIJIJINI, KAA NA MUMEO MLEE WATOTO WENU~**~ 3. HAO WIFI ZAKO WASIKUBABAISHE TENA WASIKUGEUZE CHUMA ULETE WAO, WAMEOLEWA KM WEWE WASHIRIKIANE NA WAUME ZAO KUTAFUTA HELA SI KUKULETEA UBABE KWENYE HELA ZAKO~**~ MWISHO NAKUTAKIA X MASS NJEMA NA KARIBU KIBORLON UPATE NYAMA CHOMA UPUNGUZE STRESS
 
anaamka usiku na kulia na kumwomba Mungu amsamehe kwa kosa lipi sasa,la kukuoa wewe au la kukuchukia wewe? Anajutia nini,embu vavadua hapo kwanza.

red n bolded: kamanda hapa unamaanisha nini maana kiswahili nacho wakati mwingine kina manjonjo mtu huwezi jua bana!
 
Sasa bintri Sungura, hapo amua kuwa ngangari. Kaa kimkakati kwanza na umuwashie moto huyo mumeo! Usidhani utapewa medali ya kunyamaza zaidi ya sukari na presha. Muambie hao ni dada zake yeye, si awape kila wanachotaka? Kwa nini iwe jukumu lako wewe kuwatimizia dada zake? Hebu jisimamoie bwana, aaah!

chonde chonde madam KING, mwenzio mjamzito huyo! moja ya vyanzo vya Miscarriage huanza hivi hivi. Mi nadhani huo moto uwashwe baada ya kiumbe cha mola kuja kwanza duniani ndo wazo la kuanzisha huo mtiti lifikiriwe upya!
 
pole sana bi dada cha msingi mchukuwe mwanao mkaanze maisha mapya,,,,,huyo mume wako hatakutafuta 2!!!!!!! hakurudishe nyumbani
 
mawifi wengi wanakuwaga nuksi sana kwenye ndoa nyingi,
hao si viumbe wa kuwachekea,komaa nao,maana wanaweza kukuharibia mambo then wao wakabaki wanacheka,komaa na mmeo,lazimisha kuzungumza nae,ikishindikana mwambie rafiki yake wa karibu azungumze naye,inawezekena mumeo anawaamini sana dadazake kuliko wewe-jambo ambalo ni hatari
 
hapo kilichopo ni kuwa hao dada za mumeo wamekuchunguza na kugundua 'mambo yako ya siri'
na wameyatumia kwa mumeo....mumeo kaamini na anajuta kukuoa....

1.je huna kibuzi cha pembeni?
2.huna mambo ya kishirikina?
3. huna fedha au mali za siri ambazo mumeo hazijui?
 
hapo kilichopo ni kuwa hao dada za mumeo wamekuchunguza na kugundua 'mambo yako ya siri' na wameyatumia kwa mumeo....mumeo kaamini na anajuta kukuoa.... 1.je huna kibuzi cha pembeni? 2.huna mambo ya kishirikina? 3. huna fedha au mali za siri ambazo mumeo hazijui?
MAISHA SINA TABIA KAMA HIZO, istoshe wifi zng wanakaa mbali sn kijijini nami naish mjini.
 
Dada pole sana...ila jaribu kujitazama kama kuna sehemu unakosea....vinginevyo huyu jamaa ni hatari yaani analeta ukabila mpaka kwenye ndoa!..
 
Pole sana,na kwa hali uliyonayo ukiendekeza stress ni hatari sana kwako na mtoto ulobeba.Tulia kwanza ujifungue.
 
Hao mawifi kwanini wasiwe wanaenda kufuata hiyo pesa kwa kaka yao? Inakuwaje wanakurushia wewe mzigo ilihali wanasema pesa ni za ndugu yao?? Punguza upole ndugu yangu!
 
POle anti!! na kama hayo uyasemayo juu yote ni kweli! na kama kweli ulipozidiwa na kupoteza nguvu hali ya kuwa mtoto yupo tumboni na hakujali!!? Ebu jiulize cha kukuweka kwenye ndoa/uhusiano hali ya kuwa hakuna heshima wala kujaliana??
Na labda nikwambie kitu kimoja!! kama unaona unaumia, kaa ukijua kuwa watoto ndio wanaumia marakumi yako. sasa chagua whats the best kukaa ama kufunga virago. Mimi ni mwaNAUME na nna mke na watoto!! A real Man respects his partner and prioritize his kids kwa kesi ya namna yoyote ile! kukaa hapo ni sawa na kuwaambia watoto kwamba ni sawa kuwa treated or treat your spouse like that wakikuwa wakubwa!! trust me you dont want that in any price!! If you love your kids and prioritize them, i guess and hope you know what is the best.
 
tatizo mmeo anataka kufanya equal justice anawazuga ndugu zake ili wao waone kwamba hata mmeo hakupendi labda jiulize au tuambie alishawahi kukuambia kwamba hakupendi au kukuambia uondoke wewe unachotakiwa ni kujua jinsi gani utawafanya ndugu zake mfukie muhafaka then na wewe usiwe ni mtu wa mdomo maana nyie wanawake mnapenda sana kusemana. Nitarudi baadae
 
Wee ropoka ropoka tuu! Alafu nahisi haujaolewa! Ameandika machache sana yaani hatujui ni mangapi ameficha na ni madhaifu gani wanayo. NAKUSHAURI DADA WAITE WAZAZI WAKO NA WAKE KAENI MUELEZEE MADHAIFU YENU NA MPATE SULUHU NA SIYO HAPA HATUWEZI KU-RESOLVE PROBLEM BY USING SINGLE CANDIDATE.

Hivi we baba erick unafahamu wa machame au ubaona nika kuqaita wayaudi waka ungame kwa Yohana!!! Ni mojawapo wapo yanjia ila haipitiki!!!
 
hebu kaa na mumeo uzungumze nae, kama unalazwa, tena mjamzito haji kukuona hospitali nyie ni wanandoa au wapangaji wa nyumba moja. zungumza na mumeo msimamo wake ndo utakupa nini cha kufanya....

ila ndugu linapokuja swala ya furaha yako heri kuwa mbinafsi , furaha yako, amani yako vipe priority...
 
Back
Top Bottom