lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,193
- 33,597
Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha.
Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu.
Kuweni waangalifu mnapotumia silaha hii.
Ili kuwumbua wezi wa maboksi ya kura,kuingiza kura bandia,vituo bandia,uonevu,unyanayasaji na kila Aina ya hujuma Dhidi ya wagombea wetu.
Silaha hii inaogopwa Sana na wazandiki kuliko bunduki .