Enyi mliooa, mlipataje wake?

Asante sana kwa kutoa madini murwa kwa kijana mwenzetu Mr
 
Safi sana Chifu
 
Yani hapa Mungu alitupatia mtihani ambao ukimtegemea yeye pekee ni mwepesi saaaaana....kasheshe ni ukitumia nguvu, maarifa na akili yako ndipo utapokutana na balaa... [emoji4]
 
Nashukuru kwa huu uzi mana Leo tu nimetoka kupigiwa simu na mzee mwanjisi ananiuliza naoa lini mana umri umeenda anahitaji kushuhudia harusi yang. ...sasa kaka mkubwa hata mwanamke sina
Sasa Mbeya sindio imejaa waifu matirio mkuu unakosaje mama au unataka mke mweupe?
 
Hakuna njia moja ya kupata mke,hivyo endelea kumuomba Mungu yamkini muda wako wa kuoa bado ingawa unajiona upo tayari.
 
Thats how a real woman
behaves
 
Life is a mystery. While one person is struggling to find a partner, another one is in four stable relationships.....
Kuna watu wana struggle sana kupata wanawake sahihi na wana rasilimali zote. Sie wengine ambao makapuku ndio dah wanawake hawasumbui kabisa na wife material ndio nakutana nao kwa wingi kuliko disposable material
 
Wanawake wa Dar mi huwa siwaamini...bora import wa mikoani tu! Wa bongo wengi disposable
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…