Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

Wewe fundi mchundo, engineer anakuwa site kukagua kazi aliyodesign. Huwezi Fanya design porini huko huwa wanaenda kwa feasibility study. Engineer anatakiwa atumie akili siyo nguvu kama kibarua au wewe.
Kaka unakosea hapa. Huwezi ku design kabla hujaenda site mzee hasa hizi kazi za Civil.
 
Inaonekana bro umekariri fani,hapa unashuka msamiati wa class.

Kuna kanuni inasema " Huwezi kukijua kitu kama hukifanyii kazi"


Ukija kwa undani katika hizi fani wengi wetu huwa tunajidanganya sana.

Kuna eng mmoja aliwahi kusema leo hii vijana wengi wanakimbilia kusajiliwa as a Professional engineer lakini Professional Engineer kama hujui kazi ni kazi bure.
 
Kwani anayeshauri provision ya chuma n.a. size ya structural member ni nani?
Anayekaa kufanya design (archtecture) ni nani?
Anayefanya project execution ni nani?
Nikipata majibu hayo nami nitarudi mkuu, maana labda nilikariri madesa tu.
 
Desigining inahitaji practical gani ya site?
Kama wewe ni civil eng lakini kama mchangiaji kama mimi unaweza usilijibu swali hili,kama ni muhusika wa fani husika nijibu swali hili chini :

Kaka nataka nikupe mfano au unipe hatua za kufanya designing (Usanifu) za usanifu wa foundation ya Lattice Sturcture Tower ya miguu minne ya material ya steel iron.

Nataka unionyeshe katika hatua hizo ni vipi uhitajiki kwenda site. Sio tunaongea tu.
 
Majority wana lack exposure, na hawataki kutoka nje ya comfort zone, akipata mchoro anataka nguzo within 6m , beam slab 450, ukimchallenge kidogo umevuruga kila kitu
Ndio shida ya wahandisi wengi hili lipo mpaka kwa wahandisi wa umeme,yaani wao ni majivuno mengi na kuleta desa kusipohitajika.

Naishi nao sana watu wa hivi. Tatizo lao kubwa pia huwa hawataki kujifunza hata kutoka kwa wale walio wazidi.
 
Hivi mtoa mada anazungumzia kukaa ofisini au kujua kazi ?

Ngoja nipitie mada tena kwa mara ya pili.
 
Designing is just about Dimensioning of the structural elements Columns,Slabs,Beams and foundations sometimes walls in accordance to stability.Structural member pekee inayoathirika na Conditions za site ni Fiundations ambapo Engineer anatakiwa awe na soil properties za eneo husika especial bearing capacity ya udongo.
 
Yaani wao wanakimbilia kusajiliwa wakati hawajui Kazi,ila muhimu hela inaingia kama Ada....HahahaaaTanzania banaaa
 
Kaka unakosea hapa. Huwezi ku design kabla hujaenda site mzee hasa hizi kazi za Civil.
Unajua maana ya feasibility study? Huo ndo mda wa kwenda site kwa engineer yeyote ata wa ulaya wanakujaga, mafundi ndo wanatekeleza mradi kwa miongozo ya michoro na Maelezo kutoka kwa engineers ambao kwa wakati huo watakuwa na kazi nyingine.
 
Hujaonyesha kutohiyajika kwa design eng site.
 
Usiwape lawama mkuu engineers aka wahandisi, kwani kazi yoyote ya ujenzi inafanywa na watu watatu yaani Engineer / Mhandisi, Fundi Mchundo aka Technician na Fundi Sadifu (masons na wengine wengi)...kwa pamoja pakiwa pana ushirikiano usio wa kudharauliana kinatoka kitu bomba...Engineer anapokwenda kwenye vitabu sio kwamba ni mbishi bali anatafuta maelezo ya kiutaalam hata kama kitatokea kitu aweze kutoa maelezo

Mie sio engineer ila nimefanya kazi na hawa jamaa, sometime tunawaonea hasa wale wasio na uzoefu na kuwataka kufanya kazi kama wale wazoefu wakati yeye anakuwa hajafika level ya kufanya shortcut (tuwatie moyo mkuu ndio wametoka kwenye vyuo vyetu ambavyo havina practical za kutosha hivyo hata kama atabisha na kuchukua karatasi sio kwamba hataki ushauri wako bali anataka apate majawabu ya kisayansi)
 


sina cha kukujibu, natembelea mifano hai, ulichosema nafahamu pengine kuzidi hata wewe, nimefanya kazi both consultant and consruction department,

Nimekutana na engs ameweka depth ya footing 2.5m, lakini excution kwenye real world ilihitaji 1.7m, alikataa, unaona storng rocks yenye uwezo wa kubeba jengo bado unataka kifanyike ulichosema kwanini snisikuite mzee wa litrature

ila narudia kusema wewe bado mchanga sana kwenye hili gemu kama ni architect, hujapractise au bado unasoma ko siwezi kuelezea ukaelewa

NARUDIA TENA: Architects wengi wanaharibiwa michoro kwa upungufu wa experience ya engs wetu, nimekutolea mfno, kama unasoma ardhi ingia ofisi ya mkonyi muulize

Usibishe kama hujapractise kwenye real world
 
Hujaonyesha kutohiyajika kwa design eng site.
Soil testing huwa inafanywa na Geotechnical expert ambao si lazima awe Engineer.Nilichohitaji ufafanuzi wa mtoa uzi ni kivipi uzoefu wa Engineer site unamsaidia katika kidesign hasa kulingana na picha aliyoionesha hapo mkuu.
 
Mkuu nisichokuelewa ni kitu kimoja tuu.Ebu nieleweshe kidogo uzoefu wa Eng. Site unamsaidia vipi kudesign?
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…