Sijui kwanini anawashambulia civil engs, hivi hakuna walimu wenye mapungufu?, doctors, accountants,..... watawala?Unajua unachosema? Yaani engineers wafanye kazi za -engineer, u-technician (FTC), ufundi mchundo, (VETA)?
Umehamia chama tawala nini? Achana na siasa nenda kasome.
hatuelewan, ila kama ni civil jitahidi sana uwe vzuri practical works kuliko theoryUnajua unachosema? Yaani engineers wafanye kazi za -engineer, u-technician (FTC), ufundi mchundo, (VETA)?
Umehamia chama tawala nini? Achana na siasa nenda kasome.
We ni kati ya mashabiki tu wa kuiona field ya Civil Engineering kwa kuisikia.
Nenda mbali, kaisome na kuipractice.
Huyu lazima ali-disco u-engi akaenda FTC au VETA!Sijui kwanini anawashambulia civil engs, hivi hakuna walimu wenye mapungufu?, doctors, accountants,..... watawala?
Hii kama sio obsession basi ni kisasi
chini ya jua hakuna kitu nitakacho soma nokashindwaHuyu lazima ali-disco u-engi akaenda FTC au VETA!
Kuna jamaa alishindwa ku-qualify u-engi akaenda kusoma chemistry, anawachukia ma-engi ile mbaya!
Ahaaa! Ulisoma VETA kwa kuwa hukupenda kusomea u-engineer. Tazama, mzalendo wa kweli, Magufuli atamwona lini ampe ukuu wa mkoa!chini ya jua hakuna kitu nitakacho soma nokashindwa
mapovu yanawatoka sana, tz hasa kizazi hiki hakina civil ni wataalamu wa wa theory wakisaidiwa na gugo
Ha ha ha!Unajua unachosema? Yaani engineers wafanye kazi za -engineer, u-technician (FTC), ufundi mchundo, (VETA)?
Umehamia chama tawala nini? Achana na siasa nenda kasome.
Hahaha General banaaa[emoji115] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Bongo kuna engineer???
Mkuu hiyo cantiliver umeangalia ni ya material gan maana bongo asilimia kubwa ya structure ni concrete....kwa upande wa steel ndo pekee inaweza kuaccomodate span kubwa kwny cantiliver....Chukulia mfano Uwanja wa AC/INTER Milan zile cantiliver zaidi ya Metre 30 hapa bongo umewahi ziona???
Swala sio hakuna wa kudesign mkuu mbona tuna wakandarasi wa barabara lakini tender wanapewa wa china unataka kusema wanapewa sababu hakuna anaeweza kufanya kazi za barabara bongo..Sio kweli ndugu yangu, Tanzania bado sana hawa watu wanahitaji kufanya practical
nakupa mfno: pale St joseph kuna steel structural ila bongo hii hakuna alieweza kudesign walitoa structural Kenya
Siyo kweli ma injinia wengi wapo site na hao waliopo maofisini kazi zao ni za maofisini site waende kufanya nini?Nimetoa rai kwao, wengi wa engineers wetu ni watu wa literature, hawataki kukaa site kujua vitu practical
Unataka injinia akasimamie mpaka vijumba vya kigogo?Hapa Utaona Ma engineer wanavyoteteana,hahahaa wengine wanatetea ili wazidi kuwapoteza Wenzao....Ukweli Utabaki Pale Pale,Ndio Maana Nowadays Nyumba tuu za Kawaida maeneo ya Kijichi,Kinyerezi,Mbweni,Ununio nk Unakuta nyumba Imejengwa hatari Nzuri sana tena na MTU ambae sio hata Engineer,sasa MPE kazi Engineer uone kitakachotokea na Cost juu zaidi,Haya mambo yanahitaji More Experiences, na Sio Tuu upande wa Civil hata Fani nyingine kama Umeme,Mechanical,
Unaweza kuta Electrical technician anajua zaidi kuliko Engineer,Nenda Viwandani Utajua naongea Nini,
Mkuu who is an EngineerNimetoa rai kwao, wengi wa engineers wetu ni watu wa literature, hawataki kukaa site kujua vitu practical
Probably you Know Nothing About Engineering..Hapa Utaona Ma engineer wanavyoteteana,hahahaa wengine wanatetea ili wazidi kuwapoteza Wenzao....Ukweli Utabaki Pale Pale,Ndio Maana Nowadays Nyumba tuu za Kawaida maeneo ya Kijichi,Kinyerezi,Mbweni,Ununio nk Unakuta nyumba Imejengwa hatari Nzuri sana tena na MTU ambae sio hata Engineer,sasa MPE kazi Engineer uone kitakachotokea na Cost juu zaidi,Haya mambo yanahitaji More Experiences, na Sio Tuu upande wa Civil hata Fani nyingine kama Umeme,Mechanical,
Unaweza kuta Electrical technician anajua zaidi kuliko Engineer,Nenda Viwandani Utajua naongea Nini,
Mkuu Huelewi eNGINEERING hata kidogoHahaha, Bongo cantiliver Eng nani anaweza fanya hizo?? utazunguka sana, wanaoongoza kuharibu michoro ya wasanifu ni engineers kwa kwetu
Nakupa mfano tu Muulize Arch Mkonyi alichora Treasury ile ya Dodoma kwenye entrance tu alierka cantiliver isiyozid hata 5M nenda kaangalie ile entrance walivojaza manguzo yasiyo na misingi.