Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

Sio kweli ndugu yangu, Tanzania bado sana hawa watu wanahitaji kufanya practical

nakupa mfno: pale St joseph kuna steel structural ila bongo hii hakuna alieweza kudesign walitoa structural Kenya
Desigining inahitaji practical gani ya site?
 
Majority wana lack exposure, na hawataki kutoka nje ya comfort zone, akipata mchoro anataka nguzo within 6m , beam slab 450, ukimchallenge kidogo umevuruga kila kitu
 
Kwamba yanga wanajua kuliko barcelona
 
Inaelekea umekutana na ma Engineer wa saizi yako.
Tembelea miradi na uone watu wanaojituma kikazi.
Tembelea Ubungo Interchange,Kimara~Morogoro Rd Widening,Tazara Flyover na hata miradi ya Barabara Kijichi ajiridhishe kuwa miradi hiyo haitekelezwi na wadau wako wa B.com au LL.B

Nyie mnaokaa na mainjinia ofisini mnawajua tu Design Engineers (mnaokula nao viyoyozi) na kwa sababu ya uelewa finyu mnafikiri hao ni wa site full time.
Kwa ulicho andika nahisi mtoa mada ni penguin per se, ambaye hajui the wide and different roles za Civil Engineer.
 
Sio hao tu sector karibia zote hakuna kitu ndio mana kampuni kubwa mafundi mchundo ndio mabosi
 
Nafikiri hao maengineer wanakuwa trained kuwa ma think tanks (critical thinkers), wewe technician unapoona hatua 10 yeye anaangalia hatua 100 zaidi. Wanakuwa na uelewa mpana zaidi wa mambo na options tofauti tofauti za kutoa miongozo ya utekelezaji. Ni sawa na kutaka daktari ashinde wodini kutoa matibabu, hajawa trained kwa ajili ya hilo. Yeye ata prescribe matibabu kwa case ambayo imekuwa referred kwake, lakini hutamwona anazunguka na sindano au dawa kuwapa wagonjwa.
 

Nimeandika haya nikiwa kwenye kada 1 ya construction na nimekutana na engineers wengi sana , nakiri kuna arh/qs wako njema sana kuliko eng kwa sababu wanakaa site sana

kama unataka kua eng wa theory endelea kukaa ofisin bila kupractise ukitegema kuweka provision kila sehemu
 

technicians ni wazuri mara 10000000 kuliko bsc civil
 
Wewe fundi mchundo, engineer anakuwa site kukagua kazi aliyodesign. Huwezi Fanya design porini huko huwa wanaenda kwa feasibility study. Engineer anatakiwa atumie akili siyo nguvu kama kibarua au wewe.

Unakagua kipi??? unakagua kitu ambacho real practical yake huijui vizuri??
 

Sasa kama unaelewa kwa nini unaanzisha uzi wa namna hii, kama vile wewe ni nguini?
 

Kwa taarifa yako tu siku hizi unasoma general civil engineering hakuna ki_opt kama walivyokua wanafanya zamani

nahisi hiki ndicho kinachoongeza vilaza wa civil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…