Enai Na Abes Life

Nyafwili

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2023
Posts
5,426
Reaction score
13,697
Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha.


. Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho ya mtu huhukumiwa baada ya kifo.

. Lakini kuna tatizo kubwa, Roho ya Enai imevunjwa vipande 7 na kutawanyika duniani kutokana na uhalifu wa kutisha.

. Katika dunia, mtu asiyekuwa na roho hupewa kazi ya kuitafuta roho yake.

. Enai anapewa nafasi ya kurudi duniani kwa muda mfupi na Rakineta(aliye na uwezo wa kumrejesha mtu duniani) anampa ujumbe huu "Una siku 50 tu kupata roho yako, la sivyo utapotea milele katika giza la Abes."

Soma 👉 👉 SEHEMU YA 1
 
Back
Top Bottom