Itakusaidia nini?
to like somebody.....to love somebody ....to be in love with somebody........vitu vitatu tofauti...
marekebisho yapi unayapendekeza?Hivi hii sheria ya ndoa kwanini isiwe inafanyiwa amendments kulingana na wakati tulionao?
well well well..... naona na Conrad aliyeua mtu usiku kwa kujinafasi kwenye bar huko, naye yuko nje kwa dhamana miezi 5 sasa, maybe wakamilishe kwanza hii kesi ya Conrad, haiingii akilini huyu murderer kuendelea kuwepo mitaani kasha wezi wa kuku wako segerea, hiyo familia ya akina Mlay inabidi ifanye jitihada za makusudi kumsweka tena ndani huyu muuaji
Emma ndo maisha hayo yalivyo ulimpata mtu mwenye malengo yake sasa umemsaidia kuyatimiza na yametimia kweli akuhitaji wewe wa nini maana amekuwa juu alipotaka kufika anahitaji wa juu wenzake usipoteze tena time zako kwa huyo tayari amepata anachotaka na asilimia kubwa ya wanawake wako hivyo akifanikiwa kufika anapotaka anamtupa aliyemuonyesha njia na kujiunga na aliowataka kukutana nao. Mungu atakusaidia kamanda tuamaliza haya yote
Yaani huyu dada mmh! sina hamu nae kabisa, nimemshangaa na bado nashangaa, hivi unawezaje kumfunga baba wa mtoto wako? Ila kama kweli amembambikia kesi mumewe Mungu huwa hachelewi wala hawaii, majibu tutayapata hapahapa
Breaking News: The Bold is out now..
hiki ni kitendawili maana wote hatujui ukweli wa hili jambo.
marekebisho yapi unayapendekeza?