Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
13,164
2,000
Ogopa sanaa KUMUAMINI MWANAMKEE... MPENDE TU ILA KAMWEE USIMWAMWINI HATAA KIDOGOO..!! Akili zao za kuvukia barabaraa yanii...
 

msukuma fekero

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,052
2,000
EU wanasheria tofauti kidogo, sheria yapenda kumpendelea mwanamke zaidi, hasa akiwa na watoto, tayari familia wanapakulala, ila nahisi ile nyumba ya pili ni kwa ajili ya malazi kwa watoto, labda sababu jamaa hana kipato.
Hata kama Eboue angekuwa mzungu, sheria zao ziko hivyo..
Nafikiri wanasheria wa mama wanataka watoto na mke waishi yale yale kabla Eboue hajafulia...
Unajua kusoma kweli au maana imeandikwa eboue aliandikisha mali zote mpaka watoto kasoro pumbu zake kuwa ni za mke wake hakuna kugawana hapo
 

iJamii

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
1,969
2,000
Nilichojifunza ni kuwa wanawake ni kuishi nao kwa akili.. Pia mtu usijiroge ukakimbilia kuoa wanawake wa kizungu... Refer Tiger Woods na Kobe Bryant kama sikosei
 

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
7,073
2,000
Kuna mshkaji nae yamemkuta hayo anaugulia tu sa hii. Hata watoto hatakiwi kuwasiliana nao
 

Mchizi

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
1,882
2,000
Nilichojifunza ni kuwa wanawake ni kuishi nao kwa akili.. Pia mtu usijiroge ukakimbilia kuoa wanawake wa kizungu... Refer Tiger Woods na Kobe Bryant kama sikosei
Hata angeoa mweusi mwenzake sheria ni ile ile nusu kwa nusu
 

Erick Kalemela

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
716
1,000
80% Ya matajiri au watu wenye pesa wamezungukwa na marafiki Maslahi,ni ngumu sana kumjua rafiki wakweli kila nikimkumbuka Mr.Nice hua nachoka kabisa mtu aliyekua anamiliki Bilioni moja na ushee hela leo kabaki bila bila,Ee Mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema
 

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
10,475
2,000
Duuuh...aisee kuna kitu hapa Eboue hakua aware nacho..do not play with white women....Do not f**ck with them,at all.......

You can play with white girls the way you want,but do not marry any....halafu a Black man,unaenda marry a most prized possession a white man has,are you out of your mind?

Eboue has been made an example off.....caucasians are not to be played with...angeoa wa nyumbani kwao tu...wazungu sio wenzetu,tusijifanye ooh utandawazi,my friend tunajidanganya tu...White people smiles only when they are shooting you...just meet them,smile,talk nice to them,but mzee do not ever mess with them,and this include marrying or sexing up their women....this is serious...

Nenda continental Europe au hata US jifanye sijui una-seduce their women halafu wakubaini uone hostility...why cant we just marry our own women?This is insane...
 

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,654
2,000
Bora yeye mali kabaki nazo mwanamke na ana watoto watatu watakaozifaidi...wanawake zetu wa kibongo kudadadeki mali mnagawana pasu pasu halafu ile gari uliyomgea kwenye mgao wa mali zako ulizochuma kwa jasho lako na kwa uchungu mkubwa siku umekaa unatafakari mara inakupita huku driver akiwa bwana'ake wenyewe siku hizi wanaita BenTen yeye kaweka miguu kwenye dashboard huku mguuni ana kikuku wakielekea pia kwenye nyumba yako uliyomwachia akachezee nyama ngumu.WTF...hii dunia haiko sawa wakuu ni kuomba Mungu atuepushe na haya mabalaa.
 

Kasongo

JF-Expert Member
Jul 29, 2007
3,029
2,000
nawe pia mkuu.. heri ya mwaka mpya.. hawa viumbe sio wa kuwaamini 100% ni bora hata uandike majina ya watoto ila sio hawa mama zao
Ila inabidi kusikiliza na upande wa pili wa mto.Usihukumu kwa kusikiliza upande mmoja (always).Mshikaji labda alikuwa na michepuko nk Wamama wengi huwa si wasemaji sana ila huwa ni hatari sana ukiingia kwenye anga zao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom