Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

NYALENGO

Member
Feb 17, 2017
76
125
Mambo mengine wanaume wa kiafrika tunajitakia wenyewe, umeoa mzungu, unaishi naye ughaibuni na unammilikisha Mali zako zote. Tunasahau kuwa siku migogoro ikitokea sheria itamlinda mwanamke ambaye ni mzawa. Tatizo waafrika kuoa mzungu tunajiona tupo modernised.
 

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
6,473
2,000
Wanawake viumbe visivyo na akili duniani
Mkuu samahani kukuulizia huku, ile hadithi ambayo paka ni muhusika ni ya kweli na ilitokea kwako au ulimwakilisha mtu? Fantastic stori aisee,

Ila haya majina ya kifaransa noma yani mimi jina la mwisho la huyo mchezaji nilikuwa ninahisi mleta mada kakoses, pia kuna ofisi flani nilikuwa namwita mtu benoit kumbe ni benwaa
 

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
6,473
2,000
nawe pia mkuu.. heri ya mwaka mpya.. hawa viumbe sio wa kuwaamini 100% ni bora hata uandike majina ya watoto ila sio hawa mama zao
Haahhah hiyo mbinu yangu ili kuwakwepa HESLB, naandika watoto kwa chochote kile, kumbe nauwa ndege wawili kwa jiwe moja
 

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,173
2,000
Hao waafrica wanaoshoboka kuoa wazungu mwisho wao ndio huu. Kwani angeoa mtu wa kwao angekutaba na ufukara huo? Mimi siwaonei huruma kabisa. Nimekaa nao England nawajua. Ukikutana nao wanajiona wao wameshakuwa wazungu. Kukusalimia wewe mweusi wanaona watapata hasara...
 

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,173
2,000
Hao waafrica wanaoshoboka kuoa wazungu mwisho wao ndio huu. Kwani angeoa mtu wa kwao angekutaba na ufukara huo? Mimi siwaonei huruma kabisa. Nimekaa nao England nawajua. Ukikutana nao wanajiona wao wameshakuwa wazungu. Kukusalimia wewe mweusi wanaona watapata hasara...
 

Jameel2013

JF-Expert Member
Aug 21, 2014
550
500
Ukiwa celeb wakiume na una mkwanja wa nguvu wewe lazima uwesmart otherwise utakuja juta mbeleni huko...........Tena hii MIAFRICA iliyupo huko EUROPA asilimia 90% imeoa wanawake Weupe na ukienda KULE AMERICA navyo hivyo hivyo wanaume weusi wanapenda wanawake weupe Mwisho wa siku wanakwapu kila kitu ulicho hangaikia.
 

Mr the dragon

JF-Expert Member
Apr 14, 2017
1,421
2,000
Ninachokipenda kwa wanawake ni papuchi tu hamna kingine hawa viumbe hawaaminiki kabisa.Ni ukweli mchungu japo ndo mama zetu.
 

cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
659
1,000
Kuna wakat haki haitendeki na haswa ukijulika mjinga ndio unakandamizwa zaid.Mali zote anamilikishwaje mtu Moja na kwa kutumia kigezo kipi? Nina mashaka hata na wanasheria wake waliosimamia hiyo kesi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom