Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,078
2,000
It is now three weeks since a deadline passed for Eboue to surrender ownership of the Enfield home to his wife.


Emmanuel Eboue hopes God will help him as he struggles to cope with his fall from grace(Image: Daily Mirror)


Blind mystic Baba Vanga 'who predicted 9/11 and Brexit' has made two world-changing predictions for 2018


“I can’t see them and it is hurting me a lot," he said. “I was close to my children and ready to do everything for them.

“My two girls have a phone and used to call me. But now it has been two months with no contact.

“I miss children. I miss my children a lot and I want to see them because it is not fair. It pains me a lot."

Eboue has taken a huge fall from the days he earned millions at Arsenal and Galatasaray.

His dream of a Premier League return with Sunderland evaporated last year, however, after he was hit with a 12-month ban by FIFA after failing to settle a £790,000 debt owed to his former agent

Eboue says he was never given guidance to manage his finances.


Emmanuel Eboue admits he is struggling to come to terms with his situation and being unable to see his kids(Image: Daily Mirror)
Insisting his wife looked after most of their affairs, he admits being “naive” with money.

He also claims he was beset by a string of people who gave bad advice and lost him huge sums.

With a limited education, Eboue is paying the price for being unaware of his financial situation. His handful of visits to the bank were with Aurelie.

Eboue even recalls an occasion when bank staff visited him – to sign paperwork – at Arsenal’s training ground.

And he now wants other young African footballers to learn from his mistakes.

He says: “I look back and say ‘Emmanuel, you have been naive... why didn’t you think about that before?’ It is very late!
"Very, very hard. The money I earned, I sent it to my wife for our children.

“In Turkey I earned eight million euros. I sent seven million back home. Whatever she tells me to sign, I sign.

"She is my wife. The problems with FIFA were because of people advising me. People who are supposed to care. But it was because of them FIFA banned me.”

Having surrendered the cars among assets transferred to his wife, Eboue now has an Oyster card and relies on London transport – while doing his best to avoid being watched.


But even watching TV – and seeing the likes of former team-mate Thierry Henry as a football pundit – triggers negative thoughts.

He adds: “When I see Thierry I feel happy for him but ashamed of my own situation.

"When I see friends on TV that I played with or against I say to myself ‘I should still be there’. It’s hard to watch them.”

Eboue is devastated at spending Christmas apart from his own kids, daughters Clara, 14, and Maeva, 12, and son Mathis, nine.

He goes on: “It hurts me a lot. They used to call me. But now, no contact. It pains me to be alone without them.”


Eboue has been left without so much as a washing machine.

But he won’t be beaten, saying: “Every day I wash my jeans, my clothes, everything. My hands are hard. As though I have been working on a farm.

“I thank my grandmother because she taught me to wash, cook, clean, everything as a young man.

“I continue to thank God. I have my life. I didn’t want what has happened. I don’t wish it on anybody.”

While Eboue wants to return to playing one day, he would jump at the chance of working with former club Arsenal or players’ union the PFA.


He says: “I would accept help from anywhere but if my previous club wants to help me then I would be very, very happy. Maybe I could help the young players?

“The PFA helped me when I had my problems with my agent. If they gave me a job, even if it wasn’t a big, big job.

“Maybe I’d see some of the people I played with or against and I’d feel embarrassed. But I would cope.”

Follow @Record_Sport
VIEW FULL MOBILE PAGEFIFA

 

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
3,617
2,000
Hakuna cha mental illness jiulize kwanini hachezi Mpira na haja staafu na hana majeruhi ?

Alisajiliwa na klabu yake mpya uturuki kwenye vipimo alifeli na taarifa za madaktari zinasema wame spot virus na wakaishia hapo hawakutaka kuendelea mbele ila vyombo vya habari za uturuki zikasema Ebou alifeli vipimo sababu alikutwa na HIV mbona hii habari ilikuwa hot news sana September,

Na saizi kwenye hii taarifa ya Ebou kufilisika wanasema hachezi mpira sababu yupo ill na wala sio majeruhi

Yaani Ebou wa miaka 30 na kitu apate mental illness kisa babu kafa acha masihara ww

HIV inamsumbua na anajuta saizi
Acha kuzua zua vitu..... Weka chanzo cha habari hii
 

BONGE LA BWANA

Senior Member
Apr 14, 2015
169
250
MIAKA 11 iliyopita alikuwa akipata namba katika klabu kubwa kabisa na kucheza mechi kubwa zenye hadhi ya kutazamwa na dunia nzima.

Hiki kilikuwa kipindi chake cha miaka saba kwenye Ligi Kuu England, alivuna mamilioni ya pesa kama malipo ya mishahara yake na aliishi kwenye mahekalu na kuendesha magari ya kifahari.

Lakini, kwa sasa beki wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Eboue, anaishi kama digidigi, wakati mwingine analala tu kwenye vibaraza vya nyumba za marafiki zake, hata nguo zake anafua mwenyewe kwa mikono, hana tena zile mashine za kufulia.

Staa huyo mwenye umri wa miaka 34 anasimulia yote na kuweka hadharani namna utajiri wake wote ulivyokwisha na kuwa masikini kiasi cha kumfanya akaribia kujiua.

“Mungu anisaidie tu,” anasema.
“Anisaidie tu kuondoa haya mawazo mabaya kwenye akili yangu.”

Eboue ameamua kuweka bayana kila kitu ili kuwaamsha wengine wasiingie katika njia alizopita yeye ambazo zimemgharimu kwa kiasi kikubwa. Eboue wa sasa ni kama anasumbuliwa na matatizo ya akili kutokana na kuathirika kisaikolojia na namna alivyopoteza mali zake zote.

Alikuwa kipenzi cha mashabiki wa Arsenal na aliichezea timu hiyo kwa mafanikio makubwa hata kwenye ile fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona mwaka 2006. Arsenal ilifungwa, lakini Eboue aliendelea kuwa shujaa wa Arsenal. Alikuwa muhimu pia katika timu yake ya taifa ya Ivory Coast.

Lakini, furaha zote hizo za wakati huo zimekuwa majonzi, zimekuwa machozi. Eboue kwa sasa hawezi kucheza mpira kutokana na hali yake na hilo limekuwa zito kweli kulikabili. Eboue kwa sasa amepoteza kila kitu na sababu kubwa ya jambo hilo ni talaka yake kwa mkewe Aurelie. Mwanamke huyo sasa ndiye mmiliki wa kila kitu.

Hata mawasiliano na mabinti zake; Clara (14) na Maeva (12) na mtoto wake wa kiume Mathis (9), yamekatika. Zile wiki tatu za kutakiwa kuliachia jumba la huko London zimeshapita.

Jumba hilo alilokuwa akiishi na mkewe huyo, Jaji, atasaini uhamisho wa umiliki wake kwa mke wake kama Eboue hatafanya hivyo mwenyewe.

Staa huyo aliishi kwenye jumba hilo kwa furaha kubwa na familia yake, kabla ya kulinunua kabisa, lakini sasa Aurelie ameamua kuliweka sokoni.

Anachofahamu Eboue ni kwamba mkewe atapangisha tu jumba hilo. Kwa sasa vitu vyake vyote vilivyokuwa kwenye jumba hilo vimeshawekwa kwenye mabegi, kinachosubiriwa ni muda tu wa kuambiwa abebe kila kilicho chake aondoke.

“Kwa sasa sina pesa ya kuendelea kuwa na Mwanasheria. Nipo kwenye ile nyumba, lakini nimekuwa na mashaka makubwa. Kwa sababu ni muda gani polisi watakuja kunitimua. Wakati mwingine nazima taa kwa sababu sitaki watu wafahamu kama nipo ndani. Najaza vitu kibao mlangoni. Nyumba yangu mwenyewe, niliyohangaika sana kupata pesa za kuinunua, lakini sasa naishi kwa wasiwasi. Siwezi kuuza nguo zangu au mali nyingine nilizonazo. Nitapambana hadi mwisho kwa sababu hii siyo haki kabisa,” anasema Eboue.

Eboue alivuna pesa za kutosha huko Arsenal na alikuwa akilipwa zaidi ya Pauni 1.5 milioni kwa mwaka alipokuwa kwenye kikosi cha Galatasaray.

Matumaini yake ya kurudi kwenye Ligi Kuu England alipotakiwa na Sunderland yaliyeyuka mwaka jana baada ya kukumbana na adhabu ya Fifa ya kufungiwa miezi 12 kutokana na kuwa na matatizo na wakala wake wa zamani.

Eboue amesema hakuwa amefundishwa kabisa namna ya kusimamia pesa zake.

Amesema mkewe ndiye aliyekuwa akisimamia kila kitu na kwamba yeye hakuwa mwangalifu sana kuhusu pesa.

Amedai pia alikuwa amejiweka karibu na watu ambao walikuwa wakimpa ushauri wa ovyo uliomfanya apoteze pesa nyingi.
Kwa sababu hakuwa na shule kichwani, Eboue sasa ameanza kujuta kwa kutokuwa na ufahamu wa masuala ya kipesa. Alisema mara nyingi alizokuwa akienda benki alikuwa akiandamana na mkewe Aurelie. Mkewe sasa ndiye kila kitu. Mkewe anaonekana kama alimzidi ujanja katika baadhi ya mambo hasa ya kipesa.

Eboue anasimulia namna siku moja mtu wa benki alipomfuata mazoezini Arsenal na kumtaka asaini baadhi ya dokumenti, hakujua amesaini kitu gani na hapo lilianza tatizo. Eboue anataka wachezaji makinda wa Kiafrika kujifunza kupitia makosa yake.

“Mbaya sana, pesa zote nilizopata nilikuwa namtumia mke wangu na watoto wetu. Nilikuwa Uturuki nilipata Euro 8 milioni. Nilimtumia Euro 7 milioni nyumbani. Kila alichoniambia nisaini, nilisaini. Yeye ni mke wangu,” amesema.

Kwa sasa Eboue anapanda usafiri wa umma kwa sababu hata magari aliyokuwa akiyamiliki, sasa yanamilikiwa na mkewe. Kwenye hayo magari ya umma, Eboue amekuwa akijificha akiomba asifahamike kwa sababu bado yupo London.

Anasema anapomtazama mchezaji mwenzake wa zamani, Thierry Henry, akifanya uchambuzi kwenye televisheni, anajiona mjinga zaidi na kujichukia.
Kwa sasa, Eboue anategemea zaidi msaada wa dada yake, Yasmin, pamoja na staa wa zamani wa Portsmouth na Newcastle United, Lomana Lua Lua, ambao wamekuwa wakimsaidia katika baadhi ya mambo. Kwa watu hao ndiko Eboue ambako anakwenda kulala kwenye vibaraza vyao.

“Namshukuru bibi yangu kwa sababu alinifundisha kufua, kupika, kufagia na mengine mengi nilipokuwa mtoto. Hapa nilipo namshukuru tu Mungu kwa kuendelea kuwa hai, ukweli sipendi kabisa kilichotokea na sitaki kimtokee yeyote,” anasema.

Eboue anataka kurudi tena uwanjani kucheza.

CHANZO: Gazeti la Mwanaspoti.
 

cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,100
2,000
LIFELINE
Arsenal hero Emmanuel Eboue offered job by Galatasaray after admitting he considered suicide


Ex-Gunners defender has been left broke following bitter divorce but Turkish club have stepped forward in an attempt to help him piece his life back together

By Duncan Wright
26th December 2017, 12:34 pm
 

jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
7,129
2,000
Cha kusikitisha zaidi hapa ni kutokuonana na kucheza na watoto wake, kuchukuliwa nyumba ya pili wakati mama na watoto tayari wanalo jumba lao....
inasikitisha sana aise...
Mcha Mungu
WhatsApp Image 2017-12-26 at 14.07.38(4).jpeg

FAMILY MAN
WhatsApp Image 2017-12-26 at 14.07.38(2).jpeg
WhatsApp Image 2017-12-26 at 14.07.38(3).jpeg
WhatsApp Image 2017-12-26 at 14.07.38.jpeg

WANAUME, AKILI ZETU ZISIWE KWENYE PAPUCHI TU KAMA WATAKAVYO, TUTAUMIA..
WhatsApp Image 2017-12-26 at 14.07.37.jpeg

ULINZI SHIRIKISHI WANAMTAFUTA MAMA EBOUE, WAONGEE NAYE KISTAARABU TU..
WhatsApp Image 2017-12-26 at 14.07.38(1).jpeg
 

gwangaeto

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
420
500
Ndo majanga ya kushobokea wazungu angerudigi akaoe hukohuko ivory coast mambo yasingekua mabaya, mi namshauri eboue angeweza tungewasiliana tungekaroga ako kazungu *****
 

hometown

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
388
500
Kweli mtanzania kazawadiwa mke mzuri na mwenyezi mingi no stress ,mkizaa watoto ni wenu wote, ukiwa na Mali zinakuwa zenu wote, hakika mungu katupendelea kwenye nyumba zetu,uzungu utuepuke, usije kuaribu tamaduni yetu,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom