loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,240
- 5,058
Baada ya Rwanda kuidhamini Aston Villa mara moja nikasema Aston Villa kwisha.
Kila sehemu PAKA akigusa ni gundu tu. Huyu jamaa ana rohho mchafu muharibu.
Alipohudhuria majuzi kuangalia mechi ya PSG vs Aston Villa kwenye UEFA yule msomali alikuwa refa akaenda na gundu Aston ikanyukwa laiti asingeenda Aston Villa ingeshinda.
Huko kongo ni yeye. Watu wanakufa hamna utulivu ni kwa ajili yake.
Alipotangaza msimu uliopita ndio wa mwisho kuidhamini Arsenal ikatwaa ubingwa baada ya miaka 22.
Sasa hivi huko kwenye ligi kuu uingereza tayari Aston Villa imenyukwa 4-0 na Brighton tena kipindi cha kwanza na kadi nyekundu juu.