Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

Picha yake please ikiwezekana na ya huyo mwanamke
b9863146937d0ec1a8a76b77a6f1bca2.jpg

Picha yake please ikiwezekana na ya huyo mwanamke
b9863146937d0ec1a8a76b77a6f1bca2.jpg
 
Binafsi simuelewi, he was extravagant au Mali kapewa mke wake!? Mana naona Mali zote zipo isipokuwa umiliki nd umehama kwenda kwa mkewe! Swali, kwann mke ajimilikishe Mali!? Mwandishi rudi tena kafukue!?
EU wanasheria tofauti kidogo, sheria yapenda kumpendelea mwanamke zaidi, hasa akiwa na watoto, tayari familia wanapakulala, ila nahisi ile nyumba ya pili ni kwa ajili ya malazi kwa watoto, labda sababu jamaa hana kipato.
Hata kama Eboue angekuwa mzungu, sheria zao ziko hivyo..
Nafikiri wanasheria wa mama wanataka watoto na mke waishi yale yale kabla Eboue hajafulia...
 
Akipata lawyer mzuri anashinda hii kesi na nyumba itauzwa hivyo kupata 50% ya thamani ya mali zao.
 
Elimu Elimu Elimu unasaini vipi documents usizozielewa ndugu Eboue?? Yani akiletewa anasaini tu hahaha eti ni mke wangu shubamiiti!!! nimejifunza hapa nisiamini sana mwanamke kisa ni mke wangu wengine sio wema aisee dah...
 
Division of Assets in UK

In equitable distribution states, more assets are considered “marital property,” but the split is not necessarily 50-50. Community property. ... At divorce, community property is generally divided equally between the spouses, while each spouse keeps his or her separate property.
 
Nina wasiwasi hiyo nyumba ina jina la huyo mwanamke jambazi.

Back
Top Bottom