Ufaransa, ni CEO na shareholder Lous Vuitton/ LVMHni wa wapi huyu?
Peleka na ww taarifa zakoHizi orodha huwa unapeleka TU hazina ukweli wowote
WatajeWengi wayahudi hapo
Hivi Mo anaweza kumzidi mzee wa Ice Cream Azam kwa utajiri?Hapo wangeshusha list kidogo tungemuona mwamedi nafasi ya 12.
Musk kesho asubuh utamkuta kasha rudi kwenye nafasi yake topMhhh ila hapo juu kwa project za musk lazma arudi
Na yule mwamba wa Ai nae atakuja kuwa moto mbeleni
Ufaransani wa wapi huyu?
Mwamedi usione yale matangazo kwenye jezi ya Simba ukamchukulia poa ana kiwanda mpaka cha sabuni za guest wahuni wanazopigia jeki watu wakila nauli na kiwanda cha viberiti ebwana usimchukulie poaHivi Mo anaweza kumzidi mzee wa Ice Cream Azam kwa utajiri?
Hata zigawanywe kwa masikini masikini hawatoishaYaan ukichanganya utajiri wa mtu wa kwanza mpka huyo wa kumi unatosha kabisa kugawanya kwa watu maskini dunia zima na kuleta unafuu