Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani

Mhhh ila hapo juu kwa project za musk lazma arudi

Na yule mwamba wa Ai nae atakuja kuwa moto mbeleni
 
Hivi Mo anaweza kumzidi mzee wa Ice Cream Azam kwa utajiri?
Mwamedi usione yale matangazo kwenye jezi ya Simba ukamchukulia poa ana kiwanda mpaka cha sabuni za guest wahuni wanazopigia jeki watu wakila nauli na kiwanda cha viberiti ebwana usimchukulie poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom