Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Akili yako ndo ya kupima! Umewahi kufanya utafiti kujua ni wanazuoni wangapi wa kiwango cha ubobezi ambao wanatoka katika mataifa ambayo kiingereza si lugha yao mama na bado wakafanikiwa sana kwenye maeneo yao ya umahiri? Amka dude..kiingereza ni lugha tu kama kimakua,kindali na kisambaa!
 
Alikua anakaririgi pointi tu,na mwl wake anasahihisha pointi tu iliyopo mwanzoni mwa paragraph za kazi zake.Mwl mwenyewe unakuta siyo mahari kwenye hiyo lugha,huoni hata maelezo ya kwenye essay,mfano grammar atasahihishaje kwa kusoma kiundani?
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Kama aliweza kutunukiwa hadhi hiyo akiwa kama unavyomuhumuku, basi yeye ndiye mwerevu kuwazidi waliomtunuku hadhi husika
 
Back
Top Bottom