Elimu ya Mnyika

Elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.
Du.....kweli hoja za kujadili zimeisha yani limtu lizima na manywele yake kwenye masaburi anadiriki kujadili upuuzi kama huu? Kuna haja kweli ya kuhadili elimu ya Mnyika na hali uwezo wake tunaujua? Wapi prof.magembe, wapi Dr.Kigwangala?

Hoja za kipimbi kabisa hizi.
Mnajisifia kuwa makini lakini hamuoni the big picture!
Pamoja na tatizo la maji Ubungo, limeongezeka lingine-elimu ya mbunge wetu.

Small lies sum up into a big lie- Mnyika now seems to be a fake product?
 
tukisema kila mtu alete vyeti vyake vya form four hapa JF, isee watu watafunga id zao akiwemo Ritz



mi naona tufanye ivo ili tuelewe uelewa wa watu km kina ritz ukilinganisha na passmark zao
 
sio lazima aseme yeye lakini kukaa kimya wakati anaona kuna watu wanapotosha ukweli ni kosa.

mimi sina degree na maisha hayanigongi. mtu akisema jenifa alipata upper second udsm, nitakuwa wa kwanza kusema weye mwongo

mnyika anawatuma vibaraka wake muje kudanganya eti ana a tatu form six kumbe hata dada (d)hana. ana bba kumbe hata big brother africa hana.
hao maua wanajulikana kufundusha mitihani. wanafunzi wake ukiwaleta shule za kawaida hawana kitu wanaisha na dada na eva na wengine wanampata fatuma kama mwanaasha wa jk.

Dada Jenifa mbonakuna wenye A masomo yote mpaka chuoni lakini hawana uwezo hata robo wa John Mnyika? Cku hizi wengi wenu mnabeba vyeti tu lakini vichwani mmebeba mabomu.
Inashangaza sana vilaza kuhoji uwezo wa mtu kichwa kama Mnyika.
 
Mimi naitaji jibu moja tu Mnyika ana degree hama hana?

Uwezo wako ni mdogo sana kuhoji uwezo wa kichwa kama John Mnyika.Nyie vilaza endeleeni kubaki na elimu zenu za vyeti visivyokuwa na mantiki kwenye uchumi wetu.Wewe na viongozi wako wenye vyeti vya kuchakachua hamfikii hata robo ya uwezo wa Mnyika hata kama elimu yake ni ya darasa la pili.
 
Mnyika! mnyika! Mnyika! Mnyika!!!!! Endelea kuwanyoosha magamba hao
 
nakumbuka mwaka 2005 nikiwa first pale mabibo block d mnyika alikuwa napita kuomba kula kwenye room n ni mwaka ambao alikuwa amemaliza chuo so ni graduate wa udsm

Kweli alipitia room yangu pia pale block E akiwa na akina Mtatiro japo mi ni mshabiki wake kiuwezo ila zile vipeperushi vyake vilikuwa vinaonyesha tu matokeo yake ya darasa la saba na matokeo ya kidato cha nne.
Nilihisi kuwa matokeo yake ya kuanzia kidato cha sita hayakuwa mazuri ndo maana kwenye zile vipeperushi vyake havikuonyeshwa.
Lakini kiukweli Mnyika ana uwezo wa kusoma kozi yoyote na popote hapa Duniani na akapata matokeo mazuri yenye A zote kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya kidato cha nne.
Mbona kuna vilaza wengi wenye digrii pamoja na uwezo kuwa mdogo? i.e Mtela Mwampamba na masalia wote kwa ujumla.
 
kaka hata mimi nakubaliana na wewe. mnyika hahitaji cheti cha degree kufanya siasa za ubungo.

hata sasa anafanya vizuri sana. ila kwanini adanganye au akae kimya anapoona wapambe wake wanadanganya.

kwanini amenyofoa cv yake kule website ya bunge.

mambo mengine ukiwa mkweli ni madogo sana.

Dada Jenifa mbonakuna wenye A masomo yote mpaka chuoni lakini hawana uwezo hata robo wa John Mnyika? Cku hizi wengi wenu mnabeba vyeti tu lakini vichwani mmebeba mabomu.
Inashangaza sana vilaza kuhoji uwezo wa mtu kichwa kama Mnyika.
 
Mnyika anawaumiza wengi na mawazo mapana aliyonayo juu ya maendeleo ya nchi.
 
Kama degree ndio uwezo wa kujenga hoja au weledi wa kupambanua mambo basi kwa hapa jukwaani Ritz ana PhD ya pure head damage zaidi ya fast jet!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kama degree ndio uwezo wa kujenga hoja au weledi wa kupambanua mambo basi kwa hapa jukwaani Ritz ana PhD ya pure head damage zaidi ya fast jet!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Tanga wameitoa kaskazini wamebakia wenye chama tu Kilimanjaro, Arusha, Manyara, ulivyokuwa mtumwa unaweza kuamia hata Karatu.
 
Last edited by a moderator:
Tanga wameitoa kaskazini wamebakia wenye chama tu Kilimanjaro, Arusha, Manyara, ulivyokuwa mtumwa unaweza kuamia hata Karatu.

Ritz acha matusi hayakusaidii mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Ritz acha matusi hayakusaidii mkuu.
Molemo,
Tatizo lako unapenda kunishambulia sana mimi, hebu angalia nani kamuanza mwenzake kaandika mchango wake kisha akanikejeli mimi nilichofanya ni kijibu tu wala hakuna matusi mimi mtu akiniheshimu ni mimi namuheshimu.
 
Last edited by a moderator:
Samahani wapendwa, naona kama kuna harufu ya vita binafsi kwa hawa ndugu wanaozungumzia jambo hili. Sipendi kwenda huko lakini kwa maneno machache tuu nijaribu kuangalia kati ya wasomi wenye shahada nyingi na wasio nazo waliowahi kuongoza vizuri nchi.

Namkumbuka Lyatonga Mrema sijui kama alikuwa na shahada alipoongoza wizara fulani na nikimlinganisha na aliepo leo kwenye wizara husika sijui mnapembuaje mnapozungumzia shahada zenu! Nadhani labda niite tuu karatasi mnazopewa mkikaa pale mlimani kwa muda fulani.

Sitaki kuamini kwamba kila aliyepita pale kawekeza kichwani !! Kuna wengine aibu hata kuwatambulisha kitaaluma " kuna mkuu wa wilaya fulani huko tanga aliziita degree za ch...". Hii ni kutofautisha nini kinakutambulisha kama umekaa pale ukatoka na nini kichwani.

Kuna wengine wanaitwa madoctor huku lakini kiwango chao cha maamuzi na upembuzi wa mambo bora wangeishia form two. Mifano mnayo ya kutosha. Kila anayesoma hapa anamjua mmoja au wawili ama kadhaa katika hili.

Hebu tuangalie hoja ya maji ubungo,Mnyika ni mbunge wa ngapi tangu uhuru?

Wakati mnaomba kura za uraisi mlisemaje? Ile meli kule mwanza imeshalowekwa ziwani?

Kigoma imeshakuwa dubai?

Hivi hichokitu walichoshindwa kukifanya sisiem kwa miaka 52 huyu Mwampamba na Juliana ndiyo wataweza?

Hata kama watanzania ni wajinga sana lakini tunaangalia kabla ya mkutano nilikuja na nini kichwani na baada ya mkutano naondoka na nini?

Itafika mahali hamtapewa nafasi kuzungumza matusi, mwulizeni nchemba kule igunga watu waliondoka. Hamzungumzi hoja mnaongea mambo ya chupini. Hayabadilishi maisha ya kesho.

Kina Nape walizunguka nchi nzima wakiimba ufisadi hebu leteni mrejesho! Wapo wapi. Nyie mtazunguka mkiimba nini habari itakuwa kiporo hiyo.

please hebu zungumza ueleweke lengo lako ni nini? maana umezungumza vitu/topic zaidi ya moja na hujaweka wazi unachotaka kueleza,kwa haraka umezungumza
1.Elimu ya Mnyika---lakini hujajaeleza unalengo gani,ulitaka kutuambia ana level gani au? ww weka wazi kama ni darasa
la saba,ceritficate,diploma or degree? umezunguka lakini hujaweka sawa
2.Maji ubungo---umezungumzia uhusiano wa maji na elimu ya Mnyika,kaka hebu funguka bwana
3.CCM---imeingiaje kwenye elimu ya Mnyika?

Najua ulikuwa unataka kujibu hoja zile za wale jamaa walioenda CCM kuwa Mnyika hana degree,,ilitakiwa useme tu kuwa Mnyika ana cheti tu,au ana diploma au ana shahada..KULIKO KUTULETEA STORY ZA KUMSIMULIA MKE WAKO UTULETEE SISI
 
Ishu sio kwamba Mnyika ni jembe, shoka au koleo, ishu ni je, anasema ukweli kuhusu elimu yake???
Iwapo hasemi ukweli, je ni kwa malengo gani? na je, aaminiwe kwenye lipi?

"He, who claims, must prove." This is a legal maxim. Kama una wasiwasi na elimu ya Mnyika si uoneshe kwa nini una wasiwasi na ueleze magingira yake. sasa unalialia wewe halafu unataka Mnyika naye alielie. Kama una hakaika hajasoma basi wewe mwenye ndiye unapaswa kuthibitisha hilo.
 
mi naona tufanye ivo ili tuelewe uelewa wa watu km kina ritz ukilinganisha na passmark
zao
maskini magamba imefikiwa pale!! ukishindwa kibarua unarudi kinyumenyume kama mwanga eti elimu!!
 
Sasa wewe si useme mkuu,kama yeye alidanganya wewe weka wazi basi kwanini unamumunya maneno...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom