Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,547
- 2,194
Kwaiyo wewe ndio mke wake mpaka umshauri au nani hasa? Wewe na elimu yake wapi na wapi? Dogo fuata Maisha yako
Unajua alidisco kwa nini??Rudi shule brother no shot cut in education au unahofuu kudisco tena
Lucas Malema ndo nani? Kasome tene jina la huyo jamaaAmani iwe kwenu.
Nimeamua nimtolee uvivu kijana wangu John Mnyika (Mb) wa Kibamba arudi chuo kuchukua shahada ambayo alidosco UDSM mwaka 2004.Alishawahi kutoa vijisababu vingi ikiwemo kutingwa na shughuli,uonevu wa wahadhiri nk.
Nampa wito arudi shuleni kwa sasa kuna fursa nyingi ikiwemo Chuo kikuu huria ambapo ataweza kusoma huku akifanya shughuli zake.
Lucas Malema (35) ni mwenyekiti wa EFF huko Afrika Kusini kabla ya hapo alikuwa mwenyekiti wa ANC youth league ambapo aliondoka na kuanzisha chama cha upinzani lakini aliendelea kusoma na kumaliza masomo yake ya BA PS kutoka University of SA,ikumbukwe Malema ana kesi lukuki,ni Commander in Chief wa EFF ,Mbunge na baba wa familia hivyo Mnyika wacha visingizio wewe hata ofisini kwa sasa umetengwa kiaina.
Mnyika hutumia hadi kurasa tano kuelezea jinsi alivyoshindwa kuhitimu sababu kubwa ikiwa ni kushindwa kufanya mitihani na "course work"..ni chuo gani duniani wanaweza kuvumilia mpuuzi asiyefanya mitihani halafu wampe "Associate degree"...Ikumbukwe tu wakati Mnyika anadisco hakuwa na wadhifa wowote wa juu chadema na hakuwa Mbunge.
Nakushauri Mnyika urudi shuleni ili kuepuka sababu tunazomkinga nazo Mbowe kwa sasa kama KUB mara "tajiri","amekitoa chama mbali" nk.
Nategemea watetezi wa sera ya "elimu,elimu,elimu" ndio watakuwa wa kwanza kusema "elimu si muhimu".....!
Nawasilisha.
Atarud jamani akipona. msimsimange mgonjwaAmani iwe kwenu.

Kichwani hakuwa na chochote pia alikuwa akisup kila semister mpaka wahadhiri wakagoma kumbebaUnajua alidisco kwa nini??
typical chadomo style. hamjadili hoja mnajadili presentation. lucas, julius, lufus its the content that counts!Lucas Malema ndo nani? Kasome tene jina la huyo jamaa
Labda ndio hoja inayompa ugonjwa wa sononiRudi shule brother no shot cut in education au unahofuu kudisco tena
Unawasilisha mambo ya uongo tu hapa,sisi tunamjua Julius Malema..huyo Lucas malema kadanganye wana ccm wenzakoAmani iwe kwenu.
Nimeamua nimtolee uvivu kijana wangu John Mnyika (Mb) wa Kibamba arudi chuo kuchukua shahada ambayo alidosco UDSM mwaka 2004.Alishawahi kutoa vijisababu vingi ikiwemo kutingwa na shughuli,uonevu wa wahadhiri nk.
Nampa wito arudi shuleni kwa sasa kuna fursa nyingi ikiwemo Chuo kikuu huria ambapo ataweza kusoma huku akifanya shughuli zake.
Lucas Malema (35) ni mwenyekiti wa EFF huko Afrika Kusini kabla ya hapo alikuwa mwenyekiti wa ANC youth league ambapo aliondoka na kuanzisha chama cha upinzani lakini aliendelea kusoma na kumaliza masomo yake ya BA PS kutoka University of SA,ikumbukwe Malema ana kesi lukuki,ni Commander in Chief wa EFF ,Mbunge na baba wa familia hivyo Mnyika wacha visingizio wewe hata ofisini kwa sasa umetengwa kiaina.
Mnyika hutumia hadi kurasa tano kuelezea jinsi alivyoshindwa kuhitimu sababu kubwa ikiwa ni kushindwa kufanya mitihani na "course work"..ni chuo gani duniani wanaweza kuvumilia mpuuzi asiyefanya mitihani halafu wampe "Associate degree"...Ikumbukwe tu wakati Mnyika anadisco hakuwa na wadhifa wowote wa juu chadema na hakuwa Mbunge.
Nakushauri Mnyika urudi shuleni ili kuepuka sababu tunazomkinga nazo Mbowe kwa sasa kama KUB mara "tajiri","amekitoa chama mbali" nk.
Nategemea watetezi wa sera ya "elimu,elimu,elimu" ndio watakuwa wa kwanza kusema "elimu si muhimu".....!
Nawasilisha.
Atarud jamani akipona. msimsimange mgonjwa
Natumai Mods watarekebisha,ila mantiki inabaki palepale.Lucas Malema!!!!!????
Unawasilisha mambo ya uongo tu hapa,sisi tunamjua Julius Malema..huyo Lucas malema kadanganye wana ccm wenzako
Haya jikite kwenye mada.Unawasilisha mambo ya uongo tu hapa,sisi tunamjua Julius Malema..huyo Lucas malema kadanganye wana ccm wenzako