Elimu ya bure kuhusu ugaidi

Elimu ya bure kuhusu ugaidi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
501
Reaction score
488
Dr. Zack
Ilemela, Mwanza.

Hivi karibuni kumezuka mjadala mkubwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa watanzania mbalimbali wakihusishwa na KESI za UGAIDI katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.

Kumekuwepo kwa nguvu kubwa kutoka kwa wanaharakati na wanasiasa wakipinga/kukosoa/kubeza na hata kulishutumu Jeshi la Polisi Tanzania kuhusiana na KESI hizo.

Kwa maoni yangu,nimeona kuwa uenda kuna uelewa mdogo,au kutokuwepo uelewa KABISA kuhusiana na dhana hii ya UGAIDI ni nini hasa.

Katika mazingira haya nimeona ni muhimu kutoa elimu ndogo tu kuhusu nini maana ya(I) UGAIDI,(II)UGAIDI UNATEKELEZWAJE NA((III) UNA MALENGO GANI HASA KWA WATEKELEZAJI/WAPANGAJI WA MATUKIO HAYO.

Katika kujadili dhana hii nitaongozwa na Nadharia(Theory)ya "Political Terrorism" ili kuweza kuhakisi mjadala ambao unaendelea Nchini Tanzania na labda kujibu swali la kwanini wanachama wa Chadema pamoja na wanaharakati ndio hasa wanahusishwa.

POLITICAL TERRORISM AND POLITICAL PSYCHOLOGY THEORY

"Explain how and why groups use unlawful violenve and fear to achieve political goals".

Kimsingi nadharia hizi mbili zinaeleza ni kwa jinsi gani na ni kwanini makundi ya watu fulani fulani wanatumia/wanafanya vitendo kinyume na sheria na kutengeneza taharuki kwa watu wengi kwa ajili ya kuapata manufaa ya kisiasa.

Swali hapa ni Je,Matendo ya kuhamasisha Maandamano/Vurugu based on experience ya Oct 29 na kutangaza tena uwepo wa vurugu nyingine July 7,yalikuwa hayaleti taharuki kwa jamii ya Watanzania?

IPO HIVI.

UGAIDI NI NINI?

"The use of Violence,fear and thrests against ordinary people or properties to achieve political,religious or social goals.."

Kwa lugha/tafsiri nyepesi UGAIDI ni matumizi ya vurugu,kutengeneza taharuki kwa jamii na matumizi ya vitisho dhidi ya mali za watu na Serikali kwa malengo ya kisiasa.

Kuna mambo matatu yanatajwa hapo juu kuelezea UGAIDI ni nini(I)Matumizi ya VURUGU(II)KUTISHIO YA MALI NA WATU (III)Kwa lengo la kujipatia maslahi ya kisiasa.IPO DHANA POTOFU hapa kwamba GAIDI lazima ALIPUE WATU,MAJENGO AU MALI.

Nani hajaona mijadala ya vijana wa Chadema wakitishia kuchoma Shule mitandaoni?Nani hamjui matendo na matamshi ya Kijana wa Chadema Trump na kundi lake la TFF?

Pale Mkoani Mbeya eneo la Mbalizi,mtoto mmoja mwanafunzi amechoma Mabweni ya Shule tayari.Pale Mkoani Manyara pia Bweni la Shule limechomwa tayari na Jana pale Mkoani Morogoro,Bweni la Shule ya masista ya Bigwa limechomwa juzi.Matukio.yote haya yanatokea ndani ya mwezi mmoja na nusu sehemu mbalimbali Nchini.

JINSI UGAIDI UNAVYOTEKELEZWA

Kuna njia kuu tatu za kutekeleza UGAIDI hasa wa kisiasa

I. By Radicalization: Kundi la watu linatumia mitandao ya kijamii kusambaza propaganda na kueneza itikadi kali za kisiasa.(Tutakinukisha).

II.FINANCINGI: Matukio ya kigaidi uwezeshwa kifedha kwa njia za kukusanya michango kutoka kwa wananchama,watu wenye maslahi,wanasiasa na badae kuitumia kuwezesha shuguli za UGAIDI kama manunuzi ya VILIPUZI na Posho kwa watekelezaji wa matukio hayo.

III.Attack Execution: Matukio ya kigaidi kama kuchoma Shule,Mali na kurusha mabomu utekelezwa ili kutafuta media attemtion.

Lengo kuu la matukio haya ni "kuachieve" POLARIZATION yaani kuigawa jamaa/ watu kwa malengo ya kuishinikiza Serikali halali kukubali madai yao

Heche na wanaharakati wengine wajue kuwa kutengeneza TAHARUKI/FEAR ni sehemu ya UGAIDI.Tukiendelea kudhani kuwa mtu anaweza kujificha kwenye KICHAKA cha "UHURU UKUFUNZI/UHADHIRI/KITAALUMA kufanya matendo related to UGAIDI,huko ni kujidanganya.

Kama kuna mtu hajaelewa somo hili dogo basi atakuwa hataki tu kuelewa.SO UGAIDI NDIO huo kama mlikuwa hamjui.

Mwisho.
 
Ugaidi unajua vizuri? Hizi political challenges sio ugaidi. Na dunia nzima inatucheka. Ukisema Tanzania tuna magaidi, hata watalii watakataa kuja. Maana sio salama....tena kwa kujitakia

Changamoto zetu za kisiasa haziwezi kuzimwa kwa mabavu na kesi kama hizo. Zitazimwa kwa masikilizano, kusameheana na kujishusha ili tuelewane kama familia moja.

Kinachoonekana wenye madaraka wanaona wao ni level nyingine tofauti na watanzania. Hii inaleta shida sana, hasa kwa vijana ambao ni wengi na hawajui kesho yao itakaaje.

Tusidharau mwiba....yale ya October 29 yangeweza kuzuilika. Ila ujinga wetu ulitufikisha pale. na tunaona hasara zake.

Cha kushangaza, bado tunatembea mule mule...tunachotafuta nini? Kwa hasara ya nani? Watanzania hatukuwa na chuki hizi. Zimetoka wapi?

Bahati mbaya siku hizi wanaojiita wasomi ndio vilaza kuliko wasiosoma. Hawawezi kufikiri wala kuona athari ya matendo mabaya yanayofanyika.

Ni bora kuzuia kuliko kutibu ugonjwa...magonjwa mengine ni hatari....
 
Dr. Zack
Ilemela, Mwanza.

Hivi karibuni kumezuka mjadala mkubwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa watanzania mbalimbali wakihusishwa na KESI za UGAIDI katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.

Kumekuwepo kwa nguvu kubwa kutoka kwa wanaharakati na wanasiasa wakipinga/kukosoa/kubeza na hata kulishutumu Jeshi la Polisi Tanzania kuhusiana na KESI hizo.

Kwa maoni yangu,nimeona kuwa uenda kuna uelewa mdogo,au kutokuwepo uelewa KABISA kuhusiana na dhana hii ya UGAIDI ni nini hasa.

Katika mazingira haya nimeona ni muhimu kutoa elimu ndogo tu kuhusu nini maana ya(I) UGAIDI,(II)UGAIDI UNATEKELEZWAJE NA((III) UNA MALENGO GANI HASA KWA WATEKELEZAJI/WAPANGAJI WA MATUKIO HAYO.

Katika kujadili dhana hii nitaongozwa na Nadharia(Theory)ya "Political Terrorism" ili kuweza kuhakisi mjadala ambao unaendelea Nchini Tanzania na labda kujibu swali la kwanini wanachama wa Chadema pamoja na wanaharakati ndio hasa wanahusishwa.

POLITICAL TERRORISM AND POLITICAL PSYCHOLOGY THEORY

"Explain how and why groups use unlawful violenve and fear to achieve political goals".

Kimsingi nadharia hizi mbili zinaeleza ni kwa jinsi gani na ni kwanini makundi ya watu fulani fulani wanatumia/wanafanya vitendo kinyume na sheria na kutengeneza taharuki kwa watu wengi kwa ajili ya kuapata manufaa ya kisiasa.

Swali hapa ni Je,Matendo ya kuhamasisha Maandamano/Vurugu based on experience ya Oct 29 na kutangaza tena uwepo wa vurugu nyingine July 7,yalikuwa hayaleti taharuki kwa jamii ya Watanzania?

IPO HIVI.

UGAIDI NI NINI?

"The use of Violence,fear and thrests against ordinary people or properties to achieve political,religious or social goals.."

Kwa lugha/tafsiri nyepesi UGAIDI ni matumizi ya vurugu,kutengeneza taharuki kwa jamii na matumizi ya vitisho dhidi ya mali za watu na Serikali kwa malengo ya kisiasa.

Kuna mambo matatu yanatajwa hapo juu kuelezea UGAIDI ni nini(I)Matumizi ya VURUGU(II)KUTISHIO YA MALI NA WATU (III)Kwa lengo la kujipatia maslahi ya kisiasa.IPO DHANA POTOFU hapa kwamba GAIDI lazima ALIPUE WATU,MAJENGO AU MALI.

Nani hajaona mijadala ya vijana wa Chadema wakitishia kuchoma Shule mitandaoni?Nani hamjui matendo na matamshi ya Kijana wa Chadema Trump na kundi lake la TFF?

Pale Mkoani Mbeya eneo la Mbalizi,mtoto mmoja mwanafunzi amechoma Mabweni ya Shule tayari.Pale Mkoani Manyara pia Bweni la Shule limechomwa tayari na Jana pale Mkoani Morogoro,Bweni la Shule ya masista ya Bigwa limechomwa juzi.Matukio.yote haya yanatokea ndani ya mwezi mmoja na nusu sehemu mbalimbali Nchini.

JINSI UGAIDI UNAVYOTEKELEZWA

Kuna njia kuu tatu za kutekeleza UGAIDI hasa wa kisiasa

I. By Radicalization: Kundi la watu linatumia mitandao ya kijamii kusambaza propaganda na kueneza itikadi kali za kisiasa.(Tutakinukisha).

II.FINANCINGI: Matukio ya kigaidi uwezeshwa kifedha kwa njia za kukusanya michango kutoka kwa wananchama,watu wenye maslahi,wanasiasa na badae kuitumia kuwezesha shuguli za UGAIDI kama manunuzi ya VILIPUZI na Posho kwa watekelezaji wa matukio hayo.

III.Attack Execution: Matukio ya kigaidi kama kuchoma Shule,Mali na kurusha mabomu utekelezwa ili kutafuta media attemtion.

Lengo kuu la matukio haya ni "kuachieve" POLARIZATION yaani kuigawa jamaa/ watu kwa malengo ya kuishinikiza Serikali halali kukubali madai yao

Heche na wanaharakati wengine wajue kuwa kutengeneza TAHARUKI/FEAR ni sehemu ya UGAIDI.Tukiendelea kudhani kuwa mtu anaweza kujificha kwenye KICHAKA cha "UHURU UKUFUNZI/UHADHIRI/KITAALUMA kufanya matendo related to UGAIDI,huko ni kujidanganya.

Kama kuna mtu hajaelewa somo hili dogo basi atakuwa hataki tu kuelewa.SO UGAIDI NDIO huo kama mlikuwa hamjui.

Mwisho.
Kudai maandamano na katiba mpya uwe Ugaidi, Mwalimu wa political science pale UDOM nae Gaidi! Mahakama huru,itaamua.
 
Ndio shida ya kuwa na maboss wa elimu mbali mbali. Huwa hazisogeleani hata kwenye ubongo 😂 😂 😂 😂 😂
 
Shida ya serikali zetu ni ngumu kutamka wazi kua mwatendo fulani yamefanywa na hao unaowaita "gaidi" au ni serilali yenyewe kwa sababu wazijuazo wenyewe.

Mfano ni masoko kuungua, ukiunganisha dots ni wazi ni wao wanayachoma.
 
Dr. Zack
Ilemela, Mwanza.

Hivi karibuni kumezuka mjadala mkubwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa watanzania mbalimbali wakihusishwa na KESI za UGAIDI katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.

Kumekuwepo kwa nguvu kubwa kutoka kwa wanaharakati na wanasiasa wakipinga/kukosoa/kubeza na hata kulishutumu Jeshi la Polisi Tanzania kuhusiana na KESI hizo.

Kwa maoni yangu,nimeona kuwa uenda kuna uelewa mdogo,au kutokuwepo uelewa KABISA kuhusiana na dhana hii ya UGAIDI ni nini hasa.

Katika mazingira haya nimeona ni muhimu kutoa elimu ndogo tu kuhusu nini maana ya(I) UGAIDI,(II)UGAIDI UNATEKELEZWAJE NA((III) UNA MALENGO GANI HASA KWA WATEKELEZAJI/WAPANGAJI WA MATUKIO HAYO.

Katika kujadili dhana hii nitaongozwa na Nadharia(Theory)ya "Political Terrorism" ili kuweza kuhakisi mjadala ambao unaendelea Nchini Tanzania na labda kujibu swali la kwanini wanachama wa Chadema pamoja na wanaharakati ndio hasa wanahusishwa.

POLITICAL TERRORISM AND POLITICAL PSYCHOLOGY THEORY

"Explain how and why groups use unlawful violenve and fear to achieve political goals".

Kimsingi nadharia hizi mbili zinaeleza ni kwa jinsi gani na ni kwanini makundi ya watu fulani fulani wanatumia/wanafanya vitendo kinyume na sheria na kutengeneza taharuki kwa watu wengi kwa ajili ya kuapata manufaa ya kisiasa.

Swali hapa ni Je,Matendo ya kuhamasisha Maandamano/Vurugu based on experience ya Oct 29 na kutangaza tena uwepo wa vurugu nyingine July 7,yalikuwa hayaleti taharuki kwa jamii ya Watanzania?

IPO HIVI.

UGAIDI NI NINI?

"The use of Violence,fear and thrests against ordinary people or properties to achieve political,religious or social goals.."

Kwa lugha/tafsiri nyepesi UGAIDI ni matumizi ya vurugu,kutengeneza taharuki kwa jamii na matumizi ya vitisho dhidi ya mali za watu na Serikali kwa malengo ya kisiasa.

Kuna mambo matatu yanatajwa hapo juu kuelezea UGAIDI ni nini(I)Matumizi ya VURUGU(II)KUTISHIO YA MALI NA WATU (III)Kwa lengo la kujipatia maslahi ya kisiasa.IPO DHANA POTOFU hapa kwamba GAIDI lazima ALIPUE WATU,MAJENGO AU MALI.

Nani hajaona mijadala ya vijana wa Chadema wakitishia kuchoma Shule mitandaoni?Nani hamjui matendo na matamshi ya Kijana wa Chadema Trump na kundi lake la TFF?

Pale Mkoani Mbeya eneo la Mbalizi,mtoto mmoja mwanafunzi amechoma Mabweni ya Shule tayari.Pale Mkoani Manyara pia Bweni la Shule limechomwa tayari na Jana pale Mkoani Morogoro,Bweni la Shule ya masista ya Bigwa limechomwa juzi.Matukio.yote haya yanatokea ndani ya mwezi mmoja na nusu sehemu mbalimbali Nchini.

JINSI UGAIDI UNAVYOTEKELEZWA

Kuna njia kuu tatu za kutekeleza UGAIDI hasa wa kisiasa

I. By Radicalization: Kundi la watu linatumia mitandao ya kijamii kusambaza propaganda na kueneza itikadi kali za kisiasa.(Tutakinukisha).

II.FINANCINGI: Matukio ya kigaidi uwezeshwa kifedha kwa njia za kukusanya michango kutoka kwa wananchama,watu wenye maslahi,wanasiasa na badae kuitumia kuwezesha shuguli za UGAIDI kama manunuzi ya VILIPUZI na Posho kwa watekelezaji wa matukio hayo.

III.Attack Execution: Matukio ya kigaidi kama kuchoma Shule,Mali na kurusha mabomu utekelezwa ili kutafuta media attemtion.

Lengo kuu la matukio haya ni "kuachieve" POLARIZATION yaani kuigawa jamaa/ watu kwa malengo ya kuishinikiza Serikali halali kukubali madai yao

Heche na wanaharakati wengine wajue kuwa kutengeneza TAHARUKI/FEAR ni sehemu ya UGAIDI.Tukiendelea kudhani kuwa mtu anaweza kujificha kwenye KICHAKA cha "UHURU UKUFUNZI/UHADHIRI/KITAALUMA kufanya matendo related to UGAIDI,huko ni kujidanganya.

Kama kuna mtu hajaelewa somo hili dogo basi atakuwa hataki tu kuelewa.SO UGAIDI NDIO huo kama mlikuwa hamjui.

Mwisho.
Nukyelambo iyoo naee..
 
Hivi unajua ugaidi wee??
Mmarekani na ujanja wake mpaka sasa anaogopa hata hilo jina tena omba mungu tanzania tusipatwe na hao watu.
Eti kuchangisha pesa ndio ugaidi..
Nimekudharau sana aisee...
 
Back
Top Bottom