Hapa mkuu umedanganya " form six ana division three, point 15, alikuwa anasoma mlimani BBA kuanzia mwaka 2002, ila sina uhakika kama alimaliza. Pia tambaza kulikuwa na division one 29 tu kati ya 480 waliomaliza mwaka 2001, mnyika alikuwa anasoma EGM, akitokea Maua Seminary, akiwa na div 1 point 7 A-9, alikuja pale baada ya maua kumfanyia faulu ya kutokupeleka form zake wizarani hivyo hakuchaguliwa, kujiunga kidato cha tano, kwasababu maua walitaka arudi kule, ila sasa, ikatokea kuwa mnyika hakuwa anataka kurudi maua, tatizo tambaza ilikuwa ni kama kuku wa kienyeji, naye alitoka mahali ambapo watu wanafugwa kama kuku wa kisasa, ndo akapata div three, kwakuwa wakati ule ilikuwa ngumu kwa mtu aliyepata div 3 kuchaguliwa kuingia chuo then ilbidi asome masomo ya jioni pale UDSM - BBA, ambayo sikufuatilia kama alimaliza au la.