Elimu ya Mnyika

Elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.
form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua
sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then
akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA
wakati wakiwa udsm na akina zitto na
mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa
unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP)
ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua
owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi
za kijamii kama UNA, TYVA na pia
muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI. Hiyo
kwa kifupi 2. Aligombea ubungo mwaka
2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na
umri wa miaka 24. in short ni m2 mwenye
kipaji cha pekee.

mkuu umefanya mapema sana, ungewaacha tusikie mwisho wa kelele zao.
 
halafu jaman ubongo wa mnyika ni msafi haujajazwa zinaa na ulevi ndo mana yuko bright mtoto wa watu sasa kuna njitu zimeunguza mbongo kwa ngono na ulevi hayawezi kufikiri zaidi ya mita 50 hahaha
 
Ni vizuri kuongelea hoja iliyo mbele yetu lakini ukiaanza kusaga elimu za watu sidhani kama hoja tutamaliza matatizo yanayowakabili wananchi.
 
halafu jaman ubongo wa mnyika ni msafi haujajazwa zinaa na ulevi ndo mana yuko bright mtoto wa watu sasa kuna njitu zimeunguza mbongo kwa ngono na ulevi hayawezi kufikiri zaidi ya mita 50 hahaha

Kina mtu unamsema hapa haya wewe endelea.
 
form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua
sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then
akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA
wakati wakiwa udsm na akina zitto na
mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa
unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP)
ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua
owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi
za kijamii kama UNA, TYVA na pia
muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI. Hiyo
kwa kifupi 2. Aligombea ubungo mwaka
2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na
umri wa miaka 24. in short ni m2 mwenye
kipaji cha pekee.
no wonder anawazidi watu wa serikali kwa upeo wa mbali sana. mtu aliyepata A -10 kati ya 11 form four ni genius anakuwa na upeo wa kipekee. mimi hapa nilipata A moja tu form four ila bado natesa :becky:
 
tukisema kila mtu alete vyeti vyake vya form four hapa JF, isee watu watafunga id zao akiwemo Ritz
 
Nenda kama utaikuta elimu yake kuna picha tu na CV ya ujanja ujanja tu.

hv BA ya jk inakusaidia nini? PhD YA kawambwa ina mchango gani kwako hebu angalia nyerere hakiwa na PhD Lakini angalia uwezo aliokuwa nao mna kazi ya kupiga domo tu njaa zitawamaliza
 
Hoja zake bungeni ni sawa kabisa hata mie huzipenda.... Hapa suala elimu yake atuweke sawa kama kiongozi wetu... Ni haki yetu kujua kama vile mali za viongozi

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
hv BA ya jk inakusaidia nini? PhD YA kawambwa ina mchango gani kwako hebu angalia nyerere hakiwa na PhD Lakini angalia uwezo aliokuwa nao mna kazi ya kupiga domo tu njaa zitawamaliza
Mbona unaandika kama mtoto wa chekechea?
 
form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua
sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then
akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA
wakati wakiwa udsm na akina zitto na
mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa
unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP)
ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua
owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi
za kijamii kama UNA, TYVA na pia
muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI. Hiyo
kwa kifupi 2. Aligombea ubungo mwaka
2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na
umri wa miaka 24. in short ni m2 mwenye
kipaji cha pekee.

Hapa mkuu umedanganya " form six ana division three, point 15, alikuwa anasoma mlimani BBA kuanzia mwaka 2002, ila sina uhakika kama alimaliza. Pia tambaza kulikuwa na division one 29 tu kati ya 480 waliomaliza mwaka 2001, mnyika alikuwa anasoma EGM, akitokea Maua Seminary, akiwa na div 1 point 7 A-9, alikuja pale baada ya maua kumfanyia faulu ya kutokupeleka form zake wizarani hivyo hakuchaguliwa, kujiunga kidato cha tano, kwasababu maua walitaka arudi kule, ila sasa, ikatokea kuwa mnyika hakuwa anataka kurudi maua, tatizo tambaza ilikuwa ni kama kuku wa kienyeji, naye alitoka mahali ambapo watu wanafugwa kama kuku wa kisasa, ndo akapata div three, kwakuwa wakati ule ilikuwa ngumu kwa mtu aliyepata div 3 kuchaguliwa kuingia chuo then ilbidi asome masomo ya jioni pale UDSM - BBA, ambayo sikufuatilia kama alimaliza au la.
 
tukisema kila mtu alete vyeti vyake vya form four hapa JF, isee watu watafunga id zao akiwemo Ritz

Atakachofanya kwenye hiyo thread ni kuandika
copy. chama
afu ndo haonekani tena
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli hakuna uhusiano kati ya elimu na uongozi maana kwa mfano Alhaji Mheshimiwa Mufti Shaban Simba ana mastaz ya ILIM akhera na hata DARSA zake Alhamdulilah ni mujarab lakini libakwata ndo hilo....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom