Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

kama picture quality ni mbaya kwenye NBS Channel 143 Azam tv
pia Rodriguez 2 kwenye receiver yako angle hiyohiyo game pia inaonekana.
kuna mkuu alitoa somo hapo juu namna kutumia receiver / dekoda yako.
 
Mkuu hapo kwenye Amos 5 kuna Local channels ka vp zifanyie makeke
Zijaribu kwa MPEG4
Nasubiri na mm unisaidie nipate nyingine zaidi

mkuu saizi nacheki uefa kupitia stv 1,kitu safiii,mambo ya eutel 16@e hayo.
 
kwa hiyo receiver FTA napata mpaka hizo channel zenye kuonyesha EPL nikiingiza hizo frequency na receiver inafaa na bei???
 
kama picture quality ni mbaya kwenye NBS Channel 143 Azam tv
pia Rodriguez 2 kwenye receiver yako angle hiyohiyo game pia inaonekana.
kuna mkuu alitoa somo hapo juu namna kutumia receiver / dekoda yako.

mkuu nimeshindwa kuscan baada ya kumalixa kuaad freq

naomba unielekeze kuscan.
 
mkuu mm nina dishi dogo size l dstv nitawezaje kupata dstv kwa kuwek hzo LNB2 kwamaan sasa nmechoka kwani linashika tv z dini tupuu.

Mkuu samahani Kwa kuchelewa kukujibu, pitia humu humu ndani zipo thread watu wanauza dongle, mfano qsat 13g, 11g na 15g utapunguza pressure ya match Kwa hadi 50-80%, ila uwe mvumilivu wakati mwingine kunakuwa na matatizo ya servers,
 
Mkuu nimekusubiria cku nzima ya leo...

pole sana mkuu,majukumu kidogo yana bana, sasa fanya hivi hapo hapo ulipo (uelekeo wa azam)dish lako lisogeze kidogo sana kuelekea upande wa kushoto,utaipata SES 5@W ya zuku,ukishaipata io yazuku, weka tp za amos5 ku @e kisha dish lako limovezishe upande wa kulia kwako kidogo sana(kama cm3) kisha fanya kama unalibinua kidogo kidogo kuelekea juu uku unatazama tv yako,hapo utaipata amos5,kama hujaelewa niulize tena mkuu.
 
sasa mkuu nikisogeza dish chanel za Azam c zitapotea?pia naomba unipatie frequance
 
sasa mkuu nikisogeza dish chanel za Azam c zitapotea?pia naomba unipatie frequance

nikweli mkuu lazma zipotee,ingekua bora upate dish la ziada,vizuri upate la ft6,kwan hapo utaipata mpaka arabsat,ambayo ina chanel za irib ambazo zinaonesha ligi kuu mbali mbali.

SAT YA AMOS 5 @17'E katika C band freq3626 R syr 2000,na katika KU Band sat hiyo hiyo ya AMOS 5 @ 17'E 12216 V 27500 S
 
Wadau nimefanikiwa
azma yangu,kwakutumia
dish la zuku la futi2 na
receiver ya mediacom
nimeweza kupata satlite
mbili kwa mpigo.

a) Amos5 ku @17

nimepata chanel
zifuatazo .apostoric
churc,oroma tv,ctv,favior
tv,angel tv,jhs tv,omn na
french 24.

B)eutel sat16 @e

nimezipata,rdv,crtv,lcf,tchad
national tv,dbs,canal
1&2,impact tv,suna
tv,2stv,wisal hausa,
french 24,golfe tv,rtg
1,suna tv1,stv1,tv5
monde,ltm tv,equenox
tv,stv2,ortb,na racine tv.

Nimejaribu
nimeweza,fanya na
wewe mku.

Dah umeongezea hamasa.
Nina Dish la ZUKU na pia receiver ya MediaCom MFT-930Plus(China), ntajitahidi mpaka nizipate. Ila nina swali dogo, "Dish linabakia hapohapo zinapopatikana channels za ZUKU ama linageuzwa kidogo?".
 
positio inahama kidogo,soma maelekezo yangu hapo juu nimemuelekeza EARPHONE ukiwa naswali uliza tu.
 
Last edited by a moderator:
umefanyaje?naomba nielekeze maana nina zuku

Menu》Installation(password 0000)》Manual Search, then select New(kitufe cha Njano kwenye remote control yako). Kisha weka frequence 11190, Symbol Rate 3210, Polarization H(tumia mshale wa kulia & kushoto), kisha bonyeza OK itazi-scan hizo channel mpya. Utaziona zimeongezeka, ziko mwisho kabisa kwenye orodha yako ya channels.
 
Back
Top Bottom