Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Sijakuelewa vizuri mkuu, kwa hiyo hiyo sattelite inaitwaje? Na hizo channel za bure ni zipi? Zimo local channels za hapa ncini zote mfano za mengi star tv, tbc1 na channel ten na zinginezo mfano za kenya?

ku pas7/10 nyuzi 68.5 east,hakuna local hata moja mkuu,ila mpira unaona.
 
Mkuu ph-25, sisi wenye zuku vp? Haya maujanja tunaweza kuyatumia au?

mkuu ndio yawezekana,bdae nitaweka frequence za fta kwa watumiaji wa zuku,kaa mkao wa kula.
 
Tunaendelea wadau,sasa tujaze frequence ktk decoda ya azam

bonyeza menu,nenda ktk neno SEARCH, (ok) nenda SATELITE LIST, (ok) apo bonyeza kitufe cha kijan ktk remote yako,jaza hizo simborate,frequence na polarizatio yake zen save,kisha scan, mambo lazma yajipe na hutafurai mwenyewe mkuu,kama kuna tatizo ingne weka swali hapa kwa faida ya wote,wala sitaki uni pm.

Nimimi Ph-25

Nimefuata procedur zote ulizoelekeza lakini sijapata channel hata moja.
 
Last edited by a moderator:
Mm natumia dish futi 3 na kingamuzi cha MPEG 4(DVB-S2) Kinaitwa QSAT Q11G
Kwan kingamuzi ndo kinadetermine kupata hizo channel?

mkuu sio kila receiver inafungua kila chanel,mfano mpg2 haina uwezo wakufungua chanel zinazo funguliwa na iko ulicho nacho.
 
Nimefuata procedur zote ulizoelekeza lakini sijapata channel hata moja.

tatizo sio kufata procedur,umetumia frequence gan na sat gan,je wakat unafanya hayo signal zilikuaje.?
 
Mkuu nimeuliza swali lkn haujanijibu mm nimefunga lnb katika ku amos5 nyuzi 17'E
Napata TBC,Ch10, Clouds TV haina video,Startv,ITV, DTV ziko lkn hazifunguki na nikiangalia ktk Tracksat.com ya hii satelite hizi channel ni Digital clear hazijawa encycrpted na zimeoneshwa kwa rangi ya orange fulani hivi

Nifanye je zionekana zote na sio UBC,ATN,TBC,CHN10 tu bali hadi StarTV,ITV na Clouds T
Amos 5 @ 17° East - frequencies - freq - channels - packages :: TrackSat.com
msaada kaka
ina maana pamoja na qsat yako hupat hzo chaneli?
 
Signal haikuwepo kabisa alafu nimetumia zile tatu ulizozitoa

Binafsi nimejaribu Leo, nimefanikiwa, muhimu hizo frequence zipe satellite yake, mfano AA, pale kwenye LNB freq. zipo zinazoshika Kwa 9750-10550 , na 9750-10600, ndio signal zinakuja,
 
ina maana pamoja na qsat yako hupat hzo chaneli?

Ambacho haujaelewa ni kuwa mm nimefunga LNB mbili 17'E na 36'
36' Nakula DSTV zote + Star TV
17' nakula TBC,CH10,ATN,UBC etc

Kumbe sipati tu ITV,EATV,Clouds na DTV

Ikumbukwe kuwa sitaki Mimadishi mikubwa sijui Futi 6-8,,,,kama ile iliyo pale TBC hahahahaaa!
Kwa dish la 40,000/- najua naweza pata zote tatizo sio mtaalamu wa SAT kivile

Ila nikikosa msaada ntamshtua Fundi NGURI anisaidie

CHEZEA QSAT weweeeee?
 
mkuu sio kila receiver inafungua kila chanel,mfano mpg2 haina uwezo wakufungua chanel zinazo funguliwa na iko ulicho nacho.

mkuu nimechemka kwenye kuscan na

trasponder

symborate

polarization


nafanyaje??.
 
Binafsi nimejaribu Leo, nimefanikiwa, muhimu hizo frequence zipe satellite yake, mfano AA, pale kwenye LNB freq. zipo zinazoshika Kwa 9750-10550 , na 9750-10600, ndio signal zinakuja,

Nimefanikiwa lakini signal haitulii hivyo channel zinakwamakwama sana.
Msaada tafadhar
 
Wadau nimefanikiwa
azma yangu,kwakutumia
dish la zuku la futi2 na
receiver ya mediacom
nimeweza kupata satlite
mbili kwa mpigo.

a) Amos5 ku @17

nimepata chanel
zifuatazo .apostoric
churc,oroma tv,ctv,favior
tv,angel tv,jhs tv,omn na
french 24.

B)eutel sat16 @e

nimezipata,rdv,crtv,lcf,tchad
national tv,dbs,canal
1&2,impact tv,suna
tv,2stv,wisal hausa,
french 24,golfe tv,rtg
1,suna tv1,stv1,tv5
monde,ltm tv,equenox
tv,stv2,ortb,na racine tv.

Nimejaribu
nimeweza,fanya na
wewe mku.
 
Wadau nimefanikiwa
azma yangu,kwakutumia
dish la zuku la futi2 na
receiver ya mediacom
nimeweza kupata satlite
mbili kwa mpigo.

a) Amos5 ku @17

nimepata chanel
zifuatazo .apostoric
churc,oroma tv,ctv,favior
tv,angel tv,jhs tv,omn na
french 24.

B)eutel sat16 @e

nimezipata,rdv,crtv,lcf,tchad
national tv,dbs,canal
1&2,impact tv,suna
tv,2stv,wisal hausa,
french 24,golfe tv,rtg
1,suna tv1,stv1,tv5
monde,ltm tv,equenox
tv,stv2,ortb,na racine tv.

Nimejaribu
nimeweza,fanya na
wewe mku.

Mkuu hapo kwenye Amos 5 kuna Local channels ka vp zifanyie makeke
Zijaribu kwa MPEG4
Nasubiri na mm unisaidie nipate nyingine zaidi
 
Nimefanikiwa lakini signal haitulii hivyo channel zinakwamakwama sana.
Msaada tafadhar

Ni kweli mm toka zamani nilikuwa mtumiaji wa hiyo satellite ! kiujumla signal hasa za mb3 na hata za akina RTS huwa ziko hivyo kuna wakati haziwi stable
 
Ambacho haujaelewa ni kuwa mm nimefunga LNB mbili 17'E na 36'
36' Nakula DSTV zote + Star TV
17' nakula TBC,CH10,ATN,UBC etc

Kumbe sipati tu ITV,EATV,Clouds na DTV

Ikumbukwe kuwa sitaki Mimadishi mikubwa sijui Futi 6-8,,,,kama ile iliyo pale TBC hahahahaaa!
Kwa dish la 40,000/- najua naweza pata zote tatizo sio mtaalamu wa SAT kivile

Ila nikikosa msaada ntamshtua Fundi NGURI anisaidie

CHEZEA QSAT weweeeee?

Mkuu Kwa maoni yangu hapo unapokosa ITV,Startv , na clouds tatizo sio Fundi Bali Qsat imeshindwa kuzifungua km ambavyo kule dstv TBC, ten na zile nyingine za Kenya hazifunguki.
 
Wadau nimefanikiwa
azma yangu,kwakutumia
dish la zuku la futi2 na
receiver ya mediacom
nimeweza kupata satlite
mbili kwa mpigo.

a) Amos5 ku @17

nimepata chanel
zifuatazo .apostoric
churc,oroma tv,ctv,favior
tv,angel tv,jhs tv,omn na
french 24.

B)eutel sat16 @e

nimezipata,rdv,crtv,lcf,tchad
national tv,dbs,canal
1&2,impact tv,suna
tv,2stv,wisal hausa,
french 24,golfe tv,rtg
1,suna tv1,stv1,tv5
monde,ltm tv,equenox
tv,stv2,ortb,na racine tv.

Nimejaribu
nimeweza,fanya na
wewe mku.

n ule ule welekeo wa Azam tv au vp
 
Mkuu Kwa maoni yangu hapo unapokosa ITV,Startv , na clouds tatizo sio Fundi Bali Qsat imeshindwa kuzifungua km ambavyo kule dstv TBC, ten na zile nyingine za Kenya hazifunguki.
mkuu mm nina dishi dogo size l dstv nitawezaje kupata dstv kwa kuwek hzo LNB2 kwamaan sasa nmechoka kwani linashika tv z dini tupuu.
 
1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila channel zao zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna nadhani hii ni kwa sababu hawajui maana ya HD. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.

2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.

3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.

4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.

5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.

Hebu nijuze middle east inapatikana pia?
 
Back
Top Bottom