nilisha kusamehe kitambo mkuu,niko jukwaa hili kusaidia wakuu wote tena bureeee.
Karibu tena.
Kwanza hiyo frequency angalia vizuri kama umeandika sawa ina miss digit moja ambayo ni 1 inabidi iwe 11192 Au 11190. Na hakikisha ume add satellite usiingize hizo kwa satellite inayotumika na azam.
ukiadd hiyo satellite unai edit pia kama degree 7° na weka east.
then save halafu scan hiyo satellite yako mpya.
utafurahia mkuu
Weka frequence hizi upate chnl moja ya congo.
10962h,03253
mkuu kesho tembelea uzi huu nitakupa njia raisi ya kutatua ilo tatizo lako.
Weka frequence hizi upate chnl moja ya mozambiq.
10962h,03253
kuongeza satellite au
channel,
nenda main menu»
search» satellite list
pale chini utaona rangi
na function yake mbele
unachagua
ukitaka kuadd frequency
na symborate yake una
unabofya arrow ya
kulia ,pia utaona rangi
pale chini na function
zake.
Ukifuta hivo utaweza
kuadd satellite na
frequency.
Tunaendelea wadau,sasa tujaze frequence ktk decoda ya azam
bonyeza menu,nenda ktk neno SEARCH, (ok) nenda SATELITE LIST, (ok) apo bonyeza kitufe cha kijan ktk remote yako,jaza hizo simborate,frequence na polarizatio yake zen save,kisha scan, mambo lazma yajipe na hutafurai mwenyewe mkuu,kama kuna tatizo ingne weka swali hapa kwa faida ya wote,wala sitaki uni pm.
Nimimi Ph-25
Mkuu nimeuliza swali lkn haujanijibu mm nimefunga lnb katika ku amos5 nyuzi 17'E
Napata TBC,Ch10, Clouds TV haina video,Startv,ITV, DTV ziko lkn hazifunguki na nikiangalia ktk Tracksat.com ya hii satelite hizi channel ni Digital clear hazijawa encycrpted na zimeoneshwa kwa rangi ya orange fulani hivi
Nifanye je zionekana zote na sio UBC,ATN,TBC,CHN10 tu bali hadi StarTV,ITV na Clouds T
Amos 5 @ 17° East - frequencies - freq - channels - packages :: TrackSat.com
msaada kaka