Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Mkuu add satelite afu ipe jina, ipe freq 9750-10600, kisha tupia hizi: 12728 H 30000 utapata channels 5 ikiwemo RTS, rtvge, MTA n.k

mkuu,mbona nikifika sehemu ya kusearch,inaniambia add transponder,na nikienda kwenye TP list sioni option ya kuadd transponder,symborate wala polarization?
 
Wataalam naomba kufahamu hili. Natumia dish la azam kwa uelekeo wa West katka receiver ya mediacom na napata channelz 43 ila zote siyo za kiswahili. Swali n kwamba nikibadili uelekeo wa dsh na kuwa East naweza kupata hata tbc?
 
Kwa maelezo yako hayo nakushauri mtafute fundi akusaidie I see

Kuweka Dish East au West sijui kama ndo kunakupa channel...

Kuna satellites lazima uwezi target sio kuelekeza dish kokote tu
 
Thanks man, nlijaribu mwenyewe kwa kutumia mawazo yenu ya kitalaamu ndyo nkafanikiwa kupata hzo chanelz 43. Lakn hili jaribio sjalifanya kwa upande wa East ambapo kwa madsh mkubwa huwa tunapata tbc na zngne. But all in all i do thank 4 your advc.
 
Hata usihangaike we tafuta receiver yyote ya MPG4 kisha unyanyue dish lako kidogo hapo East utapata Continental package(Amos5@17°E)
 
Hapo sasa umempoteza kabisa.

Nasikia wadau startimes wameweka abood tv na inaonyesha football through canal+ and bein sports. Kama ni kweli na tumaini azam tv wanasoma hii link nao waiweke pia ili tupate burudani
 
emesikia toka kwa nani.?
 
jamani nimenunuaa recever ya strong..ila dishi la azam je ninaweza kupata chanel za bongoo
 
Strong model ipi, kama ni mpg4 utapata hapo Amos5@17e: Ingawa hata hiyo ya decoder ya azam ni mpeg4, na Ungeadd set ungepata hizo chanel unazozitaka.
 
lakni naweza pata chanel za nyumbani free kupitia hii recever ni strong srt4310, na ungo ninaotumia ni azam ila chanel nilizopata zote ni za nje, je naweza pata za hapa nyumban itv na nduguze????
 
Nasikia wadau startimes wameweka abood tv na inaonyesha football through canal+ and bein sports. Kama ni kweli na tumaini azam tv wanasoma hii link nao waiweke pia ili tupate burudani

Abood tv ipo Startimes kitambo sana ila inapatikana kwa maeneo ya Morogoro tu, kwa wanaotumia antena kwa wanaotumia dish haipatikani. Inaonesha sana game za EPL na UCL.
 
Back
Top Bottom