Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

tuondoe fikra potofu kua ukiwa na azam dish basi kilasatelite utaipata apo... si kweli unataka epl kubali kuingia gharama tu hautaki basi endelea na azam yako. ila kuna sat nyingi na nzuri chamsingi nikua hunter.
 
tatizo lipo kwenye kuaadd satelite kwani lazima kuna vitu vya kuseti kama LNB Freq 9750- 10600.Disceqc - 1.2,LNB Power - auto, 22k - auto, switch port - port 1, Toneburst - 1, Location - east, Longitude – 7 . Then ndo unaadd hizo frequency tulizo kupa kwenye hizo satellite mpya let say inaitwa abcd: Labda utupe maelezo ulivyofanya mpaka zikakataa tujuwe ili tuykusaidie

sio lazima kujaza yote ayo chamsingi ni lnb frequence tu... andika hii LNB Freq 9750- 10600. kisha save weka tp scan.
 
Hapo kwenye longitude 7, nashindwa na badala yake naweka 7.0, and yet sipati ht chn 1, msaada

achana nayo chamuimu apo ni lnb frncy tu andika hii LNB Freq 9750- 10600. weka tp ur good to go.
 
kwani continetal wana nini cha maana mkuu.?

kwangu aiona mult tv kama mbadala wa continental maana wana chanel za ukweli sana hasa upande wa movie, soka, watoto ,dini nk, kama unaweza tafuta astra 12522 v 27000 ukiipata hutaitamani continental kamwe
 
tuondoe fikra potofu kua ukiwa na azam dish basi kilasatelite utaipata apo... si kweli unataka epl kubali kuingia gharama tu hautaki basi endelea na azam yako. ila kuna sat nyingi na nzuri chamsingi nikua hunter.

TANZANIA’S Azam Media Group have bought the rights to broadcast the Burundi Primus League soccer games on its Azam TV channels.

The deal with the Burundi Football Federation [BFF] is worth $8 million [Sh650 million] Kenyan publication coastweek.com reported while quoting Chinese news agency, Xinhua from Bujumbura.

Wider publicity

“Burundi will gain a lot because games constitute a major tool for cohesion amongst people. Besides, Burundi will receive wider publicity because the Burundi National TV will be accommodated in the Azam TV channels,” said BFF Chairman, Senator Reverien Ndikuriyo.

“Activities happening in Burundi will now also be broadcast in Tanzania and elsewhere that Azam TV operates,” he added.

Pride

Ndikuriyo urged Burundians to buy Azam decoders so that they could benefit from the new development and a wide range of Azam TV channels and programmes.

Azam Media chief executive officer Rhys Torrington said everybody in Tanzania was proud of football and also admired Burundi soccer.

Excitement

“When Burundian soccer players came to Tanzania three times last year (2014), they beat us. There is something mystical and exciting about soccer in Burundi,” said Torrington.

He added that Azam Media was founded 15 months ago in Tanzania and that it was a TV service that provides, via satellite, very cost-effective entertainment programs for the people.

He said initially Azam TV would transmit at least three games live every weekend and added that sale of decoders would begin in Burundi in the next few weeks.

- Additional reporting by coastweek.com and Xinhua
 
Jamani kwangu Azam Tv inakata picha! Msaada tafadhali!
 
kwangu aiona mult tv kama mbadala wa continental maana wana chanel za ukweli sana hasa upande wa movie, soka, watoto ,dini nk, kama unaweza tafuta astra 12522 v 27000 ukiipata hutaitamani continental kamwe

astra haina cha maana kwangu najipanga niende sat za mbali zaidi.
 
MaxMase,

Sizani kama wa tz wanashida na ligi ya burundi na uganda ikiwa ya hapa tz tu imewachosha,azam hawana jipya kwa sasa wanaitaji kufikiria mbali zaidi ya ubongo wao ulipo ishia.
 
Last edited by a moderator:
tenda za kuonesha epl zimetangazwa rasmi juzi lakini azam kashindwa kucompete na wala kujaribu kuomba kuonesha epl badala yake anarundika ligi za burundi ,

tanzania na uganda mamilioni ya pesa kiasi ambacho kama angeweka pesa izo ktk zile bide angepewa atlist haki ya kuonesha game za jmosi na jpili lakini wapi, azam majanga tupu bora uwinde fringe sat utapata kuona ligi mbali mbali kuliko kua na azam.
 
tenda za kuonesha epl zimetangazwa rasmi juzi lakini azam kashindwa kucompete na wala kujaribu kuomba kuonesha epl badala yake anarundika ligi za burundi ,

Tanzania na uganda mamilioni ya pesa kiasi ambacho kama angeweka pesa izo ktk zile bide angepewa atlist haki ya kuonesha game za jmosi na jpili lakini wapi, azam majanga tupu bora uwinde fringe sat utapata kuona ligi mbali mbali kuliko kua na azam.

Samahani hivi receiver za FTA ni bei gani nataka na mimi niingie kwenye ulimwengu huo
 
beam ya europe ya 7a,elishadai.

Na ili kupata beam ya Europe 7a, elshadai, ni nini tunatakiwa kufanya? Je ni receiver ya aina fulani, dish la futi fulani vinatakiwa au nini cha kufanya?
Kama nilivyotaja hapo juu vinahusika, je receiver hiyo ni kiasi gani (fedha) na dish ni kiasi gani (fedha)?

Tafadhari, kama waweza share nasi habari hii. Niko tayari niingie gharama mara 'moja', niue ndege wote niwapendao kwa jiwe moja.
Asante!
 
dish ft8 rcvr ya srt4922, ku superb.
 
Back
Top Bottom