born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,497
Aisee!! Nbs ya ug iinaonesha ucl jumatano au jumanne?
Jumatano mkuu..! Kesho ni barca vs PSG usikose
Aisee!! Nbs ya ug iinaonesha ucl jumatano au jumanne?
Jumatano mkuu..! Kesho ni barca vs PSG usikose
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.
12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
editing..
Sasa hivi Wamebadili hiyo @12728
imekuwa @10721h 30000
Nb: soma uzi kwanza kisha ndio ucoment kwani unaweza ku coment vitu ambavyo tayari vimesha jadiliwa tayari.... na sathunting sio msahafu muda wowote tp zinaweza badilika tu.
Receiver yangu imekataa kuingiza signo baada ya kuminya menyu kisha 0 1 2 kukaja menyu nyingne nakaminya upgred zkafutika chanel zote msaada jaman wakuweza kurudisha chanel
Aisee!! Nbs ya ug iinaonesha ucl jumatano au jumanne?
Nimelipa 20.000
Kuna Baadhi ya Channels sizipati, nikadhani haziko hewani, nikajuta kuna mtu anapata zote, kwangu zinaandika access denied, Kama Real Madrid Tv, Liverpool Tv, FX, Fox nk, Signal iko 64% kwa 60%. Kwenye channels hizo. Sijui Tatizo nini ndugus, msaada pls.
Mara ya pili nimelipa 20.000 taslim
Ok thanx! Nilipata no za kwenye posters! Nimemaliza vifurushi kwakusikiliza music, simu hawapokei! Thanx mkuu
Jaribu hii mkuu 0784108000 (namba ya bure), hiyo uliyopiga ni kwa whatsapp tu. Hii hata kama huna hela kwenye simu ni poa tu...