Ingizeni tp 11105 sr 4340 utapata channels mbili za msumbiji
kwa rcvr ya zamani unaweza bila shaka,na kama una rcvr ya kuedit key utaipa beinsport1&2 apo apo bila ya kugusa dish.
kwani mkuu receiver mpya za azam wameondoa add satellite option?
boss any additional tp for more channels..za sasa hakuna.
shukran mkuu kuna haja ya kuongeza lnb.. na zaidi ya bein sport kwenye upande wa entertainment channels zp naweza pata..kanunue rcvr za wiztec za 80elf upatr bein sport uone uefa game zote apo apo ktk dish ya azam.
shukran mkuu kuna haja ya kuongeza lnb.. na zaidi ya bein sport kwenye upande wa entertainment channels zp naweza pata..
akuna aja ya.kuongeza lnb wala kuseti dish wewe unachomeka wiz yako unascan bein wanaingia na chanel moja ya kikubwa basi.
nimekupata boss na kuna tp naweza kuingiza kwa receiver hiyo nikapata na channels za movies pia.. thanksakuna aja ya.kuongeza lnb wala kuseti dish wewe unachomeka wiz yako unascan bein wanaingia na chanel moja ya kikubwa basi.
nimekupata boss na kuna tp naweza kuingiza kwa receiver hiyo nikapata na channels za movies pia.. thanks
kanunue rcvr za wiztec za 80elf upatr bein sport uone uefa game zote apo apo ktk dish ya azam.
Mkuu model ipi ya hizi receiver za Wiztec ambazo unaona ndio nzuri? Na je nikitumia hizi receiver za Qsat kwa uelekeo huo huo wa Azam naweza nikapata hizo Bein sport au ni channels zipi naweza nikapata za bure kwa receiver hiyo ya QSat 11?
kama wiz tafuta 999super,io qsat infungua pia, kuhusu chanel za bure utapata ma muvi yanga yale yalioko azam tv.
Mkuu model ipi ya hizi receiver za Wiztec ambazo unaona ndio nzuri? Na je nikitumia hizi receiver za Qsat kwa uelekeo huo huo wa Azam naweza nikapata hizo Bein sport au ni channels zipi naweza nikapata za bure kwa receiver hiyo ya QSat 11?