samani pia nielimisheni, hivi kupitia hichi kisimbuz cha azam na kidishi chake ninaweza ongeza channel kwa kuadd hizo satelite?? au mpaka niwe na recever za fta..???
Afu awo azam tv wanazngua sana coz kuna Chanel kama realmadrid na liverpool tv hazionyeshi kama vipi wazitoe tu.
Huwa ninaona matangazo kwenye fox sports ambayo ipo azam kuwa 'usikose mechi flani kupitia fox sports two mida flani'.
Kwahiyo nina uhakika kuwa fox sports two huwa wanarusha baadhi ya mechi za premier kwa sasa.Ingawa sina uhakika kama hiyo policy ni endelevu.
fox wanarusha ila sio izo zilizopo ktk azam,izo zinarusha marudio na copa de ray basi na hakuna lingine zaidi ya hayo,epl ni uongo.
Wanarusha league one na Copa delay match ambazo fox sports haionyeshi wanazirusha kwenye fox sports 2 pia sky championship. But ligi ya ujerumani Wanarusha kwenye zbc2 na urban tv kila siku 2.30 usiku leo dortmund anacheza na cologne.
Franco15 na Ph25....itv inapatikana kwenye Azam,lakini kwenye digitek Azam tv haionekani kama vile star tv channel ten tbc nk..ndilo swali langu.Kama nimekosea au upumbavu au ujinga naomba munisamehe.
Franco15 na Ph25....itv inapatikana kwenye Azam,lakini kwenye digitek Azam tv haionekani kama vile star tv channel ten tbc nk..ndilo swali langu.Kama nimekosea au upumbavu au ujinga naomba munisamehe.
sasa unaemwambia upuuzi huu nani.? tatizo hausomi vinavyo andikwa unakurupuka bila kua na hoja za mashiko,emu kagua uzi huu upo umu tangu lini na wewe leo ndio unatoka mafichoni unaandika ujinga ujinga tu..?usiwe mvivu kusoma.
Ingizeni tp 11105 sr 4340 utapata channels mbili za msumbiji
mbona nikiadd transponder quality inashuka kabisa. kila nikijaribu inagoma.
Ingiza 11105 and 4340H Pia Just search unaweza pata kuna moja inaitwa home base tv ya Ghana inapiga mziki kishenzi