Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

wamehama apo... wako amos ila ziko scramble.
 
Kama nilivyosema hapo juu mimi ni mtumiaji tu wa TING kwa miaka kadhaa na wala sina share huko ATN. Lugha uliyotumia hapa inanishitua na naamini wewe si public relation officer au marketing manager wa Azam; hivyo nawashauri viongozi wa Azam waangalie aina ya watu wanaowatumia katk Social media kwani inaweza kuharibu Image yao. Ahsante
ha ha ha ha eti maadili.? kwenda zako kanjanja mkubwa weweee
 
Mimi sijatumwa na Agape, hapa nilikuwa natoa maoni yangu mwenyewe. king'amuzi ni zaidi ya Football na pia issue ya hitaji la ulinzi wa maadili ya watoto wewe mzazi unapokuwa haupo nyumbani. Kwa mtizamo nilioleza hapo juu ni dhahiri TING ni mojawapo ya ving'amuzi bora hata hivyo katika mtizamo wa kibiashara kila mtu huvutia kwake. Ahsante

Tingi sio king'amuzi bora. Hicho kipo kidini zaidi. Wamejaza michannel ya kikristo. Walitakiwa wakiite gosple tv. Azam ndio kingamuzi boora kwa watu wa dini zoote. Ting (gosple tv).

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Jamani naombeni msaada, nina receiver /decoder ya azam tv, iliacha kuonyesha picha kwenye tv yaani hakuna chochote katika tv hata ile no signal hakuna lakini yenyewe inawaka, mafundi huku nzega wanadai ic ya picha imeungua na hawana ujuzi wa kurekebisha. Ni wapi nitapata mafundi wa kunirekebishia plz 0787414707
 
Jamani naombeni msaada,
nina receiver /decoder ya azam tv, iliacha kuonyesha picha kwenye tv
yaani hakuna chochote katika tv hata ile no signal hakuna lakini yenyewe
inawaka, mafundi huku nzega wanadai ic ya picha imeungua na hawana
ujuzi wa kurekebisha. Ni wapi nitapata mafundi wa kunirekebishia plz
0787414707

Bila shaka ulipewa guarantee warrant ya mwaka ama zaidi, Hivyo unapaswa kuwapelekea wakala wa Azam ili akueleze kama tatizo lipo juu yao ama ni juu yako, ama pia piga simu huduma kwa wateja upate maelezo kabla hujaichokonoa. Ni ushauri tu,sina jinsi nyingine ya kusaidia hapa.
 
Jamani naombeni msaada, nina receiver /decoder ya azam tv, iliacha kuonyesha picha kwenye tv yaani hakuna chochote katika tv hata ile no signal hakuna lakini yenyewe inawaka, mafundi huku nzega wanadai ic ya picha imeungua na hawana ujuzi wa kurekebisha. Ni wapi nitapata mafundi wa kunirekebishia plz 0787414707

Piga namba hii kwa maelekezo zaidi........0784108000
 
tulio chakachua azam, jamaa wa SABC 1 wanaonyesha game vizuri sana jaribuni za world cup
 
Bro naomba unipe step by step jinsi ya kuongeza hizo chanel mana sijui naazia wapi na hela ya kumuita fundi sina saiv

soma uzi huu wote una hazina ya kutosha kujibu swali lako.
 
Tp 11785v27500 SES5 kwa sasa ipo hewani enjoy it while it lasts. Chnl za South Africa-SABC1,2,3, eTV,KZN, .....etc.

ili kuzpata una2mia dish na receiver za azam au kuna vifaa mnaongeza?
 
Back
Top Bottom