Shukran kwa
Ph-25 na wadau wengine waliotoa msaada katika uzi huu.
Kwa kiasi fulani nimeelewa na nimejaribu na nimefanikiwa japo si kwa asilimia 100.
Nimevutiwa na mambo kadhaa ktk uzi huu, kuna watu hawakujua chochote ila baada ya kufuatilia na kuuliza
hatimaye wameelewa na kutoa msaada kwa wengine. Inafurahisha na inatia moyo kwamba tunaweza
kushirikiana na kufanikisha kwa kila mmoja. Hongereni sana japo kuna baadhi walitaka kuleta vurugu ya kuwatoa
katika kile kinachojadiliwa. Pamoja na yote nina maswali kadhaa kwa ajili ya ufahamu wa sawa juu ya kisimbusi cha Azam TV.
Unaposema
add setelite ya ses 5 longitude 5 east ingiza hizi frequency 12054v29950,12034h27500 na 12015v 29950, hapo naomba ufafanuzi kidogo. Hiyo setelite ya ses 5 unaandika kama hivyo ilivyo au ipo automatical na je LNB unajaza au unaweka ipi?
Nazungumzia kisimbusi cha azam tu, naomba majibu kama swalilimeeleweka mtaniwia radhi mimi sijui habari hizi nagandamizia hapa hap