Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,101
- 1,909
Asante sana kaka,nimezipata SABC1&SABC3 very clear,nisubiri mida ya mpira tu sasa
Mkuu dish la azam linahitaji kubadilishwa uelekeo ili kuzipata hizo SABC1&SABC3?
Asante sana kaka,nimezipata SABC1&SABC3 very clear,nisubiri mida ya mpira tu sasa
karibu tena.
msihangaike na sabic wakuu.tulizifaidi wiki iliyopita na tangu mwanzoni mwa wiki hii wamezifunga zipo tu kama pambo.kwa sasa tunaenjoi na kbc na ubc ktk ses5
msihangaike na sabic wakuu.tulizifaidi wiki iliyopita na tangu mwanzoni mwa wiki hii wamezifunga zipo tu kama pambo.kwa sasa tunaenjoi na kbc na ubc ktk ses5
Nazipataje hizo ubc na kbc kwa azam dish.Unaposema ses5 unamana gani?
ses5 ninamaana satelite wanayotumia.na ili ziwe clear hakikisha umeelekeza dish lako ktk uelekeo wa zuku. zuku wapo nyuzi5 na azam nyuzi 7
ok kuna wengine wanazipa ktk uelekeo wa azam.kbc hizi hapa11082 H 27499 na ubc ni 11879 H 27499
Nikielekeza dish uelekeo wa zuku wasiwasi wangu ni kuzipoteza channels za azam.
Nipe frequency za ubc na kbc kama inawezekana kuzipata bila kubadili uelekeo hata kama hazitokuwa clear.
Utafanyaje ili upate se5 na 7 ili upate za azam tv-na zuku kwa wakati mmoja ili usipoteze za azam tv pia. Kama una utalaamu tupe mchakato tufanye tufaidi zote.
ok kuna wengine wanazipa ktk uelekeo wa azam.kbc hizi hapa11082 H 27499 na ubc ni 11879 H 27499
wakuu hapo kama unatumia azam utahitajika kuadjast dish kidogo ili upate kbc ubc na mbc.wataalam wanasema kama upo nyuma ya dish lako lishushe chini kidogo kisha lipeleke kulia taratibu ila uangalie usipoteze azam.mimi situmii king'amuzi wakuu natumia receiver ya mpg4
KBC,UBC na MBC TV (ya malawi) mim nazipata kupitia Azam tv bila hata kushusha dishi,hata SABC1&SABC3 kabla hawajazifunga kwa wiki mbil zilizopita nilikua nazipata pia bila kushusha dish,cha msingi hapo ni kufunga vizuri tu dish kwan wameongeza signal quality hiv sasa inafika mpaka 60%,ni hayo tu .
Unazipata kwa frequencies zipi Babu.