Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

leo ngoja nilijibu swali hili
mana naona watu wana hamu sana na io chanel, ukweli ni kwamba io chanel
azam walifanya uhuni kua wanayo ili wauze lakini kiuhalisia hawana io
chanel inapatikana nile sat 7@w hapo ulopo azam kuna sat nyingi sana
ziko kalibu kalibu mfano, ses@5, eutel 7a & eutel 8 pembeni kidogo
kuna amos5 na eutel17 ni kiasi cha wewe kulichezesha dish lako tu.. na
mambo yanajipa tu.

Lakini dish la ft3 kama hilo la Azam, si rahisi sana kuipata NILESAT 201 LABDA AWE NA KUANZIA FT4 NA ZAIDI, NI RAHISI SANA KUIPATA DUBAI ONE,DUBAI SPORT, CNN,BBC,MTV,nk. tafuta dubai one kwa fr hii 11785v27500. Hii satellite ipo chini ya SES5 , hakikisha unapata signal ya juu ya mwisho kabisa ya ses5 kisha shusha dish lako hadi hiyo signal inapotea, kisha ingiza 11785v27500 elekeza dish kushoto kwako ukiwa nyuma yake kisha cheza usawa huo mpaka upate signal ya mwisho ya juu ya 11785v27500; kisha blind scan kupata nyinginezo.
 
kama dish lako la azam limesetiwa vizuri, add sat ses@5 e kama zioe nyingine kisha add frequence izi 11727 h 27499 utapata samanyolu tv ktk kisimbusi chako.

Nimeingiza hizo frequency kwenye azam tv dishi kwenye 7E sijaipta hiyo channel unless mpaka ushushe dishi chini kidogo sana au? Please toa maelezo ya kutosha mkuu.
 
Nimeingiza hizo frequency kwenye azam tv dishi kwenye 7E sijaipta hiyo channel unless mpaka ushushe dishi chini kidogo sana au? Please toa maelezo ya kutosha mkuu.

pole mkuu me nimeipata kwa azam decoder bila kubadili direction wala receiver
add sat nyingine ya ses 5 ndo uingize frequence usitumie hyo 7e
 
Lakini dish la ft3 kama hilo la Azam, si rahisi sana kuipata NILESAT 201 LABDA AWE NA KUANZIA FT4 NA ZAIDI, NI RAHISI SANA KUIPATA DUBAI ONE,DUBAI SPORT, CNN,BBC,MTV,nk. tafuta dubai one kwa fr hii 11785v27500. Hii satellite ipo chini ya SES5 , hakikisha unapata signal ya juu ya mwisho kabisa ya ses5 kisha shusha dish lako hadi hiyo signal inapotea, kisha ingiza 11785v27500 elekeza dish kushoto kwako ukiwa nyuma yake kisha cheza usawa huo mpaka upate signal ya mwisho ya juu ya 11785v27500; kisha blind scan kupata nyinginezo.

asante mkuu kwa maelezo tatizo nikichezea tu huko juu si ntapoteza package ya azam cha muhimu labda ninue ungo mwingine mkuu??
 
thanx wapendwa mnatoa frequence humu ndani nimepata channel zifuatazo kupitia wadao wa humu ndani,
vox africa
benie
kzn
stones
france 24 eng
canal 3 monde
espace tv
bvn
dw
new horny tv
tv congo
proriquest tv 1
proriquest 2 ( mb3 )
mbc 2
nhk world
muvi tv
africa unite
occa africa 1
cctv news
cctv f
business 24
cctv 9
cctv4
muvi nyimbo
muvi prisms
peace tv
zuku zone
muvi tv
crtv
sunna tv
rts1
guest channel( fine living)
muvi combo
cine 5
tv 5 monde
record mozambique
mta international
muvi muvis
africa tv swahili
afrique tv media
angel tv africa
124 news french
samanyolu tv,thanx kwa@ph-25 na Mgjd na wengine woteeee
 
Last edited by a moderator:
Lakini dish la ft3 kama hilo la Azam, si rahisi sana kuipata NILESAT 201 LABDA AWE NA KUANZIA FT4 NA ZAIDI, NI RAHISI SANA KUIPATA DUBAI ONE,DUBAI SPORT, CNN,BBC,MTV,nk. tafuta dubai one kwa fr hii 11785v27500. Hii satellite ipo chini ya SES5 , hakikisha unapata signal ya juu ya mwisho kabisa ya ses5 kisha shusha dish lako hadi hiyo signal inapotea, kisha ingiza 11785v27500 elekeza dish kushoto kwako ukiwa nyuma yake kisha cheza usawa huo mpaka upate signal ya mwisho ya juu ya 11785v27500; kisha blind scan kupata nyinginezo.

ina wezekana kabisa sababu kuipata beam ya sat flan inategemea una tumia vifaa vya aina gani na je mahali ulipo io beam ina kufikiaje.? ni ta kupa mifano kazaa mimi nipo geita nimeweza kuipata amos 5 na eutel 16 kwa dish la futi 2 la zuku lakini watu wa mikoa mingne inakua ngumu.

watu wa nirobi wanaipa sirius 4a kwa kutumia dish futi 2 wakati kwa dar inaitaji ft3, watu wa dar kuipat yahsat kwa dish ft 6 ni shida wakati kwa tanga ni raisi sana.
 
thanx wapendwa mnatoa frequence humu ndani nimepata channel zifuatazo kupitia wadao wa humu ndani,
vox africa
benie
kzn
stones
france 24 eng
canal 3 monde
espace tv
bvn
dw
new horny tv
tv congo
proriquest tv 1
proriquest 2 ( mb3 )
mbc 2
nhk world
muvi tv
africa unite
occa africa 1
cctv news
cctv f
business 24
cctv 9
cctv4
muvi nyimbo
muvi prisms
peace tv
zuku zone
muvi tv
crtv
sunna tv
rts1
guest channel( fine living)
muvi combo
cine 5
tv 5 monde
record mozambique
mta international
muvi muvis
africa tv swahili
afrique tv media
angel tv africa
124 news french
samanyolu tv,thanx kwa@ph-25 na Mgjd na wengine woteeee

Hapo mkuu ungetoa frequency ,satellite na symborate ili na sisi tuongeze ambazo hatuna.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ph-25 big up kwa kutupa mwanga, ila naomba kujua kua package ya Irib ina channel ngapi ambazo tunaweza kuzipata kwa kuedit bias keys?

Mkuu the locksman, hizo channel umezipata kwa ku2mia dish la size ngapi? maana wengine tunapata baadhi tu. Nitafurahi kama utaniwekea frequency za vox africa.
 
Last edited by a moderator:
Nawish ningekuwa naelewa yale yanayozungumzwa npo zero kwenye hii sekta ila ivo ivo na mimi.nimo siachi kufuatilia
Naomba nami mniunganishe kwenye lile group la ulimwengu wa fta La whats app
0715 586 612
 
Ph - 25
Ni kweli kimahesabu ni ngumu nimenunua sat finder nimeset saizi ipo fresh naangalia ila naomba kama kuna frequency au sat ya kuongezea naomba unitumie please. Thank you in advance

Sat finder inatumika VP na inasaidia nn?
 
thanx wapendwa mnatoa frequence humu ndani nimepata channel zifuatazo kupitia wadao wa humu ndani,
vox africa
benie
kzn
stones
france 24 eng
canal 3 monde
espace tv
bvn
dw
new horny tv
tv congo
proriquest tv 1
proriquest 2 ( mb3 )
mbc 2
nhk world
muvi tv
africa unite
occa africa 1
cctv news
cctv f
business 24
cctv 9
cctv4
muvi nyimbo
muvi prisms
peace tv
zuku zone
muvi tv
crtv
sunna tv
rts1
guest channel( fine living)
muvi combo
cine 5
tv 5 monde
record mozambique
mta international
muvi muvis
africa tv swahili
afrique tv media
angel tv africa
124 news french
samanyolu tv,thanx kwa@ph-25 na Mgjd na wengine woteeee

Hapo mkuu ungetoa frequency ,satellite na symborate ili na sisi tuongeze ambazo hatuna.

mkuu kila kitu kimo humu kwenye huu uzi cha muhimu nikuputia kila page utapata kila unachotaka
 
Last edited by a moderator:
Nawish ningekuwa naelewa yale yanayozungumzwa npo zero kwenye hii sekta ila ivo ivo na mimi.nimo siachi kufuatilia
Naomba nami mniunganishe kwenye lile group la ulimwengu wa fta La whats app
0715 586 612

wakikuunga niombee na mm nijiunge 0684825136
 
ina wezekana kabisa sababu kuipata beam ya sat flan inategemea una tumia vifaa vya aina gani na je mahali ulipo io beam ina kufikiaje.? ni ta kupa mifano kazaa mimi nipo geita nimeweza kuipata amos 5 na eutel 16 kwa dish la futi 2 la zuku lakini watu wa mikoa mingne inakua ngumu.

watu wa nirobi wanaipa sirius 4a kwa kutumia dish futi 2 wakati kwa dar inaitaji ft3, watu wa dar kuipat yahsat kwa dish ft 6 ni shida wakati kwa tanga ni raisi sana.

mkuu tupe ujuzi ww unatumia vifaa gani kupata hzo sat kirahisi??
 
ina wezekana kabisa sababu
kuipata beam ya sat flan inategemea una tumia vifaa vya aina gani na je
mahali ulipo io beam ina kufikiaje.? ni ta kupa mifano kazaa mimi nipo
geita nimeweza kuipata amos 5 na eutel 16 kwa dish la futi 2 la zuku
lakini watu wa mikoa mingne inakua ngumu.

watu wa nirobi wanaipa sirius 4a kwa kutumia dish futi 2 wakati kwa dar
inaitaji ft3, watu wa dar kuipat yahsat kwa dish ft 6 ni shida wakati
kwa tanga ni raisi sana.

Yeap, ni kweli kabisa inategemea mahali ulipo na beam,. Nilesat ipo sana kaskazini na magharibi jambo ambalo linawawezesha watu wa pande hizo kuipata kwa dish dogo, ila Dar ipo mbali kidogo na ikweta tofauti na Tanga,Arusha na Moshi, Kenya wapo karibu sana hasa kaskazini, hivyo ni rahisi sana kuipata hata kwa sm 65, na ninyi watu wa magharibi pia beam imelalia sana huko, Hapa Dar kuipata Nilesat bila shida hata kidogo ni ft4 na kuipata e7wa, uwe na ft6. japo pia kwa hapa Dar watu wa kusini kabisa wanahangaika sana kuipata Nilesat kwa ft4. Mimi naipata kwa ft4.5 na signal ya mwisho ya juu ni 73% Dubai one. Naipata Yahsat1A kwa ft8 na lnb ya stargold lakini beam ya magharibi inakataa.
 
pole mkuu me nimeipata kwa azam decoder bila kubadili direction wala receiver
add sat nyingine ya ses 5 ndo uingize frequence usitumie hyo 7e

Ahsante sana kiongozi mie nimejalibu kwa lnb 9750-10600 frequency ya Azam TV ambayo ni default signal quality inaishia 12% badala ya 37% sijui so haijashika labda ungetoa setting zote ili nitest tena. Pia nimejaribu kuingiza hizi frequency kwenye list ambayo nashika muvi tz, mbc 3, peace TV and others signal imefika 37% baada ya kuchange longitude to 5E but sijaipata tena hiyo channeli ya simanyoru TV.
 
Ahsante sana kiongozi mie nimejalibu kwa lnb 9750-10600 frequency ya Azam TV ambayo ni default signal quality inaishia 12% badala ya 37% sijui so haijashika labda ungetoa setting zote ili nitest tena

anza hivi mkuu add satelite nyingine ambayo ni ses 5 east then uingize zile frequency alizotoa ph-25 utaipata hope unajua jinsi ya kuadd satelite
 
Mkuu Ph-25 big up kwa kutupa mwanga, ila naomba kujua kua package ya Irib ina channel ngapi ambazo tunaweza kuzipata kwa kuedit bias keys?

Mkuu the locksman, hizo channel umezipata kwa ku2mia dish la size ngapi? maana wengine tunapata baadhi tu. Nitafurahi kama utaniwekea frequency za vox africa.

frequence inayo tumiwa na ao jamaa ina chanel zaid ya.30.
 
Last edited by a moderator:
Nawish ningekuwa naelewa yale yanayozungumzwa npo zero kwenye hii sekta ila ivo ivo na mimi.nimo siachi kufuatilia
Naomba nami mniunganishe kwenye lile group la ulimwengu wa fta La whats app
0715 586 612

kwani kuna grup la watsup humu ndani.? haya ongereni sie wengine peku peku tu inatosha.
 
Back
Top Bottom