inasaidia kutafutia signal za sat mkuu.
Ahsante sana kiongozi mie nimejalibu kwa lnb 9750-10600 frequency ya Azam TV ambayo ni default signal quality inaishia 12% badala ya 37% sijui so haijashika labda ungetoa setting zote ili nitest tena. Pia nimejaribu kuingiza hizi frequency kwenye list ambayo nashika muvi tz, mbc 3, peace TV and others signal imefika 37% baada ya kuchange longitude to 5E but sijaipata tena hiyo channeli ya simanyoru TV.
Oh inakupa indications VP? Na inakua bei gani?asante mkuu
kama uko kwingne imekupa signal nzuri emhu i scan uko uko kama itakupa jibu zuri swadaktaaa... sio lazma uichange io longtude.
ndio ina indicator na alark inatoa pale tu utakapo ipata signal na zinauzwa kuanzia 20 mpaka laki na ushee kama uko dsm nenda kariakoo dukani kwa levi mtaa ea livingstone ziko kila sampuli.
ndio ina indicator na alark inatoa pale tu utakapo ipata signal na zinauzwa kuanzia 20 mpaka laki na ushee kama uko dsm nenda kariakoo dukani kwa levi mtaa ea livingstone ziko kila sampuli.
thanx wapendwa mnatoa frequence humu ndani nimepata channel zifuatazo kupitia wadao wa humu ndani,
vox africa
benie
kzn
stones
france 24 eng
canal 3 monde
espace tv
bvn
dw
new horny tv
tv congo
proriquest tv 1
proriquest 2 ( mb3 )
mbc 2
nhk world
muvi tv
africa unite
occa africa 1
cctv news
cctv f
business 24
cctv 9
cctv4
muvi nyimbo
muvi prisms
peace tv
zuku zone
muvi tv
crtv
sunna tv
rts1
guest channel( fine living)
muvi combo
cine 5
tv 5 monde
record mozambique
mta international
muvi muvis
africa tv swahili
afrique tv media
angel tv africa
124 news french
samanyolu tv,thanx kwa@ph-25 na Mgjd na wengine woteeee
chanel za mbc,gana ja congo.
Mbc wana haki ya kuonyesha mechi zote 64 na wamesema wataonyesha ktk channel yao ya free ambayo ni mbc3 ,hiyo link inaonyesha vituo vya TV vyenye haki ya kurusha kombe la dunia, Kwa azam kuna MBC, na crtv( Cameroon) ( http://en.m.wikipedia.org/wiki/2014_FIFA_World_Cup_broadcasting_rights)
ei ebu naomba nielekeze pale kwenye kuadd satellite umejaze mkuu nisaidie hizo channel ukiwa nazo c haba Niko mby napatikana 0764 686252