Ph-25
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 1,159
- 540
- Thread starter
- #781
Yeap, ni kweli kabisa inategemea mahali ulipo na beam,. Nilesat ipo sana kaskazini na magharibi jambo ambalo linawawezesha watu wa pande hizo kuipata kwa dish dogo, ila Dar ipo mbali kidogo na ikweta tofauti na Tanga,Arusha na Moshi, Kenya wapo karibu sana hasa kaskazini, hivyo ni rahisi sana kuipata hata kwa sm 65, na ninyi watu wa magharibi pia beam imelalia sana huko, Hapa Dar kuipata Nilesat bila shida hata kidogo ni ft4 na kuipata e7wa, uwe na ft6. japo pia kwa hapa Dar watu wa kusini kabisa wanahangaika sana kuipata Nilesat kwa ft4. Mimi naipata kwa ft4.5 na signal ya mwisho ya juu ni 73% Dubai one. Naipata Yahsat1A kwa ft8 na lnb ya stargold lakini beam ya magharibi inakataa.
ni vyema kwakua tuko pamoja sasa embu tuwasaidie hawa.jamaa ili nao wawe kama sisi tafadhari.