Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Mkuu je unaweza kuadd new frequencies katika king'amuzi cha AZAM TV ili kupata FTA Channel katika SAT ya Eutelsat 7A- 7.0E

ndio,shaka ondoamkuu inakubali we fanya mambo tu.
 
embu punguza jazba mkuu,vitu unavyoleta ni vyauongo,chanel ziko encycript,alafu unataka ushauri humu,nakushauri katafute rcver za video gurd au vox, ndo utafanikiwa kuzifungua izo chaneli,lasivyo rudi mmu tu,huku hapakufai,huwezi kuwaaminisha watu uongo kua payd chanel za videogurd uzifungue kwa rcver ya azam izo ni ndoto.

kk punguza jazba, huja jamaa keshasema ni mgeni na pia kaomba kusaidiwa hizo chanel zioneshe, cha muhimu ilikuwa ni kumwambia kwamba hzo chanels ni za paytv na sio kuanza kumtukana kwamba ametokea hospitali za vichaa... japo unafahamu mengi kwenye ulimwengu wa satelites ila isiwe kigezo cha kuwatusi wanaotaka kujifunza kama ww,, mm mwenyewe nlijarbu hyo frequence nkazipata hzo channels lakini zkawa scrambled hapo hapo nkajua hzo ni encycript nkazfuta, ila ungemwelekeza kistaarabu angekuelewa tuu.. let pipo learn smthng frm u n they will be proud of yuh!!! samahan kama nimekuboa ila nimeclean out my closet, ni hayo tuu kk, AZAM TV BURUDANI KWA WOTE!!!
 
mkuu mbona unakurupuka,ni wapi nilipo andika neno "kichaa" au na wewe ndio walewale tu,kujifanya wema kumbe hamna kitu.? Ivi unajua nini maana ya neno MMU linavyo tumika hapa jf.? Unataka kuwaaninisha watu kua jukwaa la mmu ni hospitali ya vichaa.? Wewe kama sio muongo basi huna tabia ya kusema ukweli,jipange uje tena.
 
kk punguza jazba, huja jamaa keshasema ni mgeni na pia kaomba kusaidiwa hizo chanel zioneshe, cha muhimu ilikuwa ni kumwambia kwamba hzo chanels ni za paytv na sio kuanza kumtukana kwamba ametokea hospitali za vichaa... japo unafahamu mengi kwenye ulimwengu wa satelites ila isiwe kigezo cha kuwatusi wanaotaka kujifunza kama ww,, mm mwenyewe nlijarbu hyo frequence nkazipata hzo channels lakini zkawa scrambled hapo hapo nkajua hzo ni encycript nkazfuta, ila ungemwelekeza kistaarabu angekuelewa tuu.. let pipo learn smthng frm u n they will be proud of yuh!!! samahan kama nimekuboa ila nimeclean out my closet, ni hayo tuu kk, AZAM TV BURUDANI KWA WOTE!!!

we jamaa wawapi wewe.? Ivi kumuita mtu muongo na amepotea arudi mmu ni kumtusi.? Mbona unamatatizo wewe,ivi ukitukanwa sasa itakuaje.?punguza umbumbumbu kwa tafsir zako fake.... Yani limwili lote hilo hujui hata matusi ni nini.? Teh teh teh watanzania tuna tabu kweli kweli.
 
mkuu mbona unakurupuka,ni wapi nilipo andika neno "kichaa" au na wewe ndio walewale tu,kujifanya wema kumbe hamna kitu.? Ivi unajua ni maana ya neno MMU linavyo tumika hapa jf.? Unataka kuwaaninisha watu kua jukwaa la mmu ni hospitali ya vichaa.? Wewe kama sio muongo basi huna tabia ya kusema ukweli,jipange uje tena.

ofkoz mm sina kitu ndo maana nikaja kwenye uzi wako kijifunza, ila nimekuwa disappointed sana kuwakuta wenzangu wanaotaka kujifunza nao wanadharauliwa na wanaojiona wanajua sana, anyway, ctak nseme mengi bhana kama una moyo wa kuwasaidia watu basi acha kujikuta unajua sana, kila mtu anajifunza kupitia kwa mwenzake, hope u gat me, n i gat nah intension with yuh!!! nyc tym!!!
 
we jamaa wawapi wewe.? Ivi kumuita mtu muongo na amepotea arudi mmu ni kumtusi.? Mbona unamatatizo wewe,ivi ukitukanwa sasa itakuaje.?punguza umbumbumbu kwa tafsir zako fake.... Yani limwili lote hilo hujui hata matusi ni nini.? Teh teh teh watanzania tuna tabu kweli kweli.

fools turn into wisepipo when they remain silence!!!
 
ofkoz mm sina kitu ndo maana nikaja kwenye uzi wako kijifunza, ila nimekuwa disappointed sana kuwakuta wenzangu wanaotaka kujifunza nao wanadharauliwa na wanaojiona wanajua sana, anyway, ctak nseme mengi bhana kama una moyo wa kuwasaidia watu basi acha kujikuta unajua sana, kila mtu anajifunza kupitia kwa mwenzake, hope u gat me, n i gat nah intension with yuh!!! nyc tym!!!

maneno haya hutamkwa na watu fedhuri kama wewe tu,kama ningekua selfish sizani kama kunawatu wangechangi chochote,na walio fanikia kupitia uzi huu ni wengi sana,na hakika wanakuona wewe kituko kwa maneno yako ya kijinga hayo,mtu hujui hata neno mmu hapa jf lina maana gani.
 
fools turn into wisepipo when they remain silence!!!

hamna ukweli wowote ule juu ya hilo ni wehu tu ndo wataamini hivi,"kama wewe ni fool na ukiambia ukweli kama umekosea,unasusa na kudai umetukanwa,hakika milele yote utakua zezeta tu."
 
ha ha haaa, pamoja sana mkuu ph-25
 
Kaka hapo nafahamu unapata game 1 kwa wiki tena game la EPL tu mechi ya jumamosi kupitia Rodriguez au MBC3 ila nafahamu FA CUP ndio mechi zote za siku hiyo na Uefa champ mechi ya jumatano tu pia Europa unapata basi zaidi ya hapo hamna RDV nayo EPL mechi ya jumamosi tu.

BURTON JORDE

clear n understood kaka, big up sana kaka BURTON JORDE
 
Wakuu Ahsanteni kwa somo, nimejaribu nimefanikiwa kupata CHANEL zifuatazo
MOCA TV, RODRIGUES TV1, RODRIGUEZ TV2, AFRICAN UNITE, AFRICAN MUVI sio movie ni MUVI kama nilivyoandika
Kuna moja INTERNATIONAL nini sijui, nimepata mbili za KIISLAMU, Nimepata moja ya kikristo na utitiri wa CHANEL kama 9 ambazo zinaongea Lugha ambazo sizielewi kabisa.

Tatizo kubwa nililonalo ni kuwa RIMOTI ya receiver ya zamani imekufa, hivyo nimetumia Auto naona moja ya hizi
Chanel imejikita kuonyesha mechi za wanawake.
 
Wakuu Ahsanteni kwa somo, nimejaribu nimefanikiwa kupata CHANEL zifuatazo
MOCA TV, RODRIGUES TV1, RODRIGUEZ TV2, AFRICAN UNITE, AFRICAN MUVI sio movie ni MUVI kama nilivyoandika
Kuna moja INTERNATIONAL nini sijui, nimepata mbili za KIISLAMU, Nimepata moja ya kikristo na utitiri wa CHANEL kama 9 ambazo zinaongea Lugha ambazo sizielewi kabisa.

Tatizo kubwa nililonalo ni kuwa receiver ya zamani imekufa, hivyo nimetumia Auto naona moja ya hizi
Chanel imejikita kuonyesha mechi za wanawake.

hata mimi najutaga women game cjuw zinakuaga live????.
 
Mimi nimezipata hizo lakini zina scratch

jaribu kuingalia ku yako je imefungwa 3 O'clock au 6 O'clock,kamaimefungwa 6 o'clock ifunge 3 O'clock.
 
Kama kawaida,tunaendelea ktk utafiti unaoendelea kuhakikisha tunapata chanel nying kwakutumia dish la bakh-resa leo nimefanikiwa kuongeza chanel moja (feeds) kupitia freqnce hizi.

11014h,6111

chaneli inapatikana nyuzi 7@e

still more to come.
 
Mimi nina strong mpeg 2, naweza pata local channel kupitia ku?
 
Back
Top Bottom