Kupitia satelite ya Ses@5e niwezeka kupata channel 12 zinaandika tu majina na moja ina odm test inaonekana ipo katika matengenezo frequency ni 11785 V 27500 kama mtaalamu anaweza ongeza ujuzi zioneshe itakuwa pouwah sana maana kuna channels kama Kzn, Sabc 1-3, eTv, star gospel, tshwane tv, one music, mindset, astv, deen tv na odm test
Wapenzi wa chanel ya
rdv,orbt,tv togo,stv1&2 hawa jamaa wamebadilisha frequence.ila bdo
zinapatikana pale pale nyuzi 16@e
Kupitia Satelite ya Ses@5e kuna channels zingine 12 na radio 7 ingiza hii frequency 12015 V 29950😀
Mi nipo kanda ya ziwa mwanza, je inaweza kuwa ni sababu kutokuona kitu ili hali channels zaonekana ila hazi display kitu
10804 h,30000
happy hunting