Ph-25
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 1,159
- 540
- Thread starter
- #601
Kupitia satelite ya Ses@5e niwezeka kupata channel 12 zinaandika tu majina na moja ina odm test inaonekana ipo katika matengenezo frequency ni 11785 V 27500 kama mtaalamu anaweza ongeza ujuzi zioneshe itakuwa pouwah sana maana kuna channels kama Kzn, Sabc 1-3, eTv, star gospel, tshwane tv, one music, mindset, astv, deen tv na odm test
muda mwingne unasumbua watu vichwa tu mkuu,embu gonga hapa kisha soma kwa makini.
SABC 1 - LyngSat izo chanel sio fta na wala hauwezi kuzifungua kwakutumia rcver ya kawaida nucta.