Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

dekoda ya dstv naweza kupata local channels, tofauti na mfumo wao? Kama ndio msaada wa sat & freq mabingwa..
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

mkuu hali yako mwanzo unaanzisha uzi huu nilijua ni miongoni mwa wataalam wa AZAM TV.
 
mkuu hali yako mwanzo unaanzisha uzi huu nilijua ni miongoni mwa wataalam wa AZAM TV.

mkuu mimi ni mchakachuaji tu kama kungu 1,najaribu kufanya maisha yawe raisi pasipo gharama kubwa, by the way kwanin waniuliza swali hilo.?
 
Mkuu PH Niko kwamshakaji nimekuta receiver yake hamna channel, zote Ka delete naomba muongozo from scratch..include freq za azam wenyew na satelite
 
Azam (12604 H symbol rate 30000, na 12645H symbol rate 30000) nje ya azam (11192H SYMBOL RATE 3210 , na 12728H symbol rate 30000
 
Hivi ni mie tu au wote tunapo piga simu huduma kwa wateja AZAM kukutana na wakinadada ambao maelezo yao yanakuwa hayakidhi haja?

BURTON JORDE
 
Uzi naona uko kmyaa hamna hata update zingine jaman au bado mko chimbo,tunawategemeeni Ph-25
 
satelait gani tofaut na ses5 inapatkana kwa uelekeo wa zuku?
Nimechomeka rcver ya eurostar nmepata baadh ya chanel zinazopatkana kwnye zuku
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

Nasikia hiyo ni kwa ajili ya mipira tu
 
mkuu mimi ni mchakachuaji tu kama kungu 1,najaribu kufanya maisha yawe raisi pasipo gharama kubwa, by the way kwanin waniuliza swali hilo.?

Mkuu nimekupm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Habari jamani, mie ni mara ya kwanza na post katika hii page
Naomba msaada jinsi ya ku install dish
Inclination au elevation angle ni ngapi
Najua ya satellite tu kwamba ni 7 degree east
Please msaada wenu tafadhari
 
Ph 25 unaweza kunisaidia jibu hapo
Nimeona sehemu nyingi umetoa majibu ndugu naweza pata pia jibu
 
mkuu mimi ni mchakachuaji tu kama kungu 1,najaribu kufanya maisha yawe raisi pasipo gharama kubwa, by the way kwanin waniuliza swali hilo.?

kuna mtu alikua anatoa maelekezo kwenye AZAMTV FBPAGE na adm akawa anatoa maelekezo namna ya kufanya kupitia huyo mtu na akaandika yeye hausiki au haruhusiwi kumuelekeza mtu ila anaetaka kupata hizo new chanel afuatilie maneno ya huyo mdau.
 
Hayo maelezo yako humu hata yule aliyeyapeleka facebook ya azam kaayatoa huku JF so pekenyua kwenye hii thread utayapata. Yanahusu kuongoza channels za ziada kwenye azam tv ambazo ninaonyesha mpira ambayo ni mbc3 au rodriguez tv. So pekenyua.
 
Habari jamani, mie ni mara ya kwanza na post katika hii page
Naomba msaada jinsi ya ku install dish
Inclination au elevation angle ni ngapi
Najua ya satellite tu kwamba ni 7 degree east
Please msaada wenu tafadhari

kama ni mala yako ya kwanza kubali kuumia kwanza,kuset dish kwakutumia hesabu ni ngumu sana hasa kama hesabu zenyewe huzijui,nishda kwakweli,ni bora utumie njia ya corect n' wrong tu.
 
Back
Top Bottom