Mchenjeuke
Member
- Mar 16, 2014
- 46
- 20
Mimi nimelizwa digteki
Kuna channel moja nimepata ya michezo naona kuna wacheza mpira wanafanya warm up, nlikuwa natafta Dubai one nkakutana nayo frequency zake ni 111444 H 05714 kwa Eutelsat 7A
Naona ni south africa nipo nachek league yao
Tatizo pekee linaloiathiri Azam tv ni kukatika kwa matangazo yao wakati wa mvua. Hapa wanahitaji kufanya marekebisho muhimu ili kutoharibu mazuri tunayoyapata kupitia kwao. Hata wachina wa startimes wanawashinda kwakuwa matangazo yao hayakatiki wakati wa mvua.
Jambo lingine muhimu kufanywa na Azam tv ni kutangaza/kuweka wazi namba ya Simu kwa ajili ya huduma kwa wateja ili kunapokuwa na tatizo inakuwa rahisi kutoa taarifa.
Copy kwa Yahya Mohamed
ipo mkuu
ongera kwa kuchangia pato la mengi.
Kuipata io chanel add sat nyingne,weka frqnce hizi kisha scan 11144
H 05714 utaipata.[/QUOTE
Mkuu kwangu imegoma kabisa! mwanzoni signal zilikuwa zinaongia na kutoka lkn Jana hata signal imekataa
Kuipata io chanel add sat nyingne,weka frqnce hizi kisha scan 11144
H 05714 utaipata.[/QUOTE
Mkuu kwangu imegoma kabisa! mwanzoni signal zilikuwa zinaongia na kutoka lkn Jana hata signal imekataa
teh teh teh mkuu hio inaitwa feed,nichanel za msimu huwez kuzipata muda wote,ua zinapatikana wakati wa mpira around kumi na moja,na mbili na kuendelea,mpila ukiisha nayo inatoweka.
nawezaje kuongeza frequencies kutumia decoder ya Zuku
Kuipata io chanel add sat nyingne,weka frqnce hizi kisha scan 11144
H 05714 utaipata.
tumia iyo ya azam mkuu,sat angle weka 7@e.ila kumbuka iyo ni feeds.