Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Wakuu
Hicho King'amuzi Cha Azam Ukinunua Unaweza Kukifunga Mwenyewe Au Kuna Mafundi Watakufungia.

mtu yeyote akipewa maelekezo husika,anafunga bila tabu...
 
Mkuu spana namba ngapi itanisaidia kuunda lile dish baada ya kulinunua

ziko za spesho zinazo kuja na madish,yale makubwa,au waweza tumia spana na nane kwa kumi,na #kumi na mbili,huna waweza funga hata kwa plaizi,bila kusahau star ya kufungia ku.
 
Jinsi ya kuongeza frequeny kwenye azam tv
iliuweze kuongeza chanel ambazo utaweza
kuangalia mechi za UEFA,FA na
EPL.zinazokubari ni za mbc 1 & 2 wakati wa
soka 2 inakuwa 3 # 11192h3210 ,/
recodmozambiq # 10963h3255 ./ zile
zimbotv # 12728h30000 ./hii mpya
test # 11144h5714 mnirudishie majibu
kama mmepata au la # 12646h30000 .
nilijaribu zote zenye majibu nilizojaza.Ila
kwa wale ambao mnaona ina wasumbua
tafadhari muoneni fundi ili waingizie hizo
frequency kwani kwa mara ya kwanza
lazima ua add satelite kwanza na uipe
name kisha ndio uingize frequency tatizo
lipo kwenye kuaadd satelite kwani lazima
kuna vitu vya kuseti kama LNB Freq 9750-
10600.Disceqc - 1.2,LNB Power - auto, 22k
- auto, switch port - port 1, Toneburst - 1,
Location - west, Longitude - 0.0

HII NIMEITOA KWENYE PAGE YA AZAM TV KUNA MDAU KAZITOA MI NIMEPATA CHANNEL 13 PAMOJA NA RADIO MOJA HIVYO KWA WALE WENYE MADISH NA VISIMBUZI VYA AZAM TV INGIZENI HIZO UNA ENJOY😛
 
ukisoma huu uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho unapata chanell zote ulizotaja plus nyengine 5. jumla nina chanell 18.
 
Nashukuru kwa msaada wako,ila ni kwanin wkt mvua Inanyesha inakata sana wkt dstv ful machanel all weather?
 
Karibu, inawezekana dish lako fundi hakulikaza vizuri hivyo linasukumwa na upepo, kwangu mi nililifunga kwenye zege alafu nikaweka ubao kwa juu na mawe maana nipo ghorofani na hata ikinyesha mvua ya mawe lipo stable, jaribu kutafta fundi alikaze
 
ukisoma huu uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho unapata chanell zote ulizotaja plus nyengine 5. jumla nina chanell 18.

teh teh teh mkuu,yule madau alie paste kule fb,alitoa huku izo frqnce ajabu leo uyo dogo kaja tena uku kutugea uo uozo, kwi kwi kwi kwi eti mkajaribu mnirudishie majibu.? Achen uzembe tafuta fqnce,big up CHIEF MKWAWA naona saiz uko vizur ktk hz mambo.
 
Last edited by a moderator:
Karibu, inawezekana dish lako fundi hakulikaza vizuri hivyo linasukumwa na upepo, kwangu mi nililifunga kwenye zege alafu nikaweka ubao kwa juu na mawe maana nipo ghorofani na hata ikinyesha mvua ya mawe lipo stable, jaribu kutafta fundi alikaze

jibu sahihi nikwamba,signal za azam ziko chini sana,hata hazijafika 50,na mvua huathir sana refrection za signal haijarish una dstv ama lah,chamsingi azam wapandishe kiwango cha sgnal tu,hayo ya zege ningonjera tu.
 
Nashukuru kwa msaada wako,ila ni kwanin wkt mvua Inanyesha inakata sana wkt dstv ful machanel all weather?

jibu sahihi nikwamba,signal za azam ziko chini sana,hata hazijafika 50,na mbaya zaidi wanatumia ku band ambayo wakati wa mvua huathirika sana na mvua huathir sana refrection za signal haijarish una dstv ama lah,chamsingi azam wapandishe kiwango cha sgnal tu,hayo ya zege ningonjera tu.
 
1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila channel zao zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna nadhani hii ni kwa sababu hawajui maana ya HD. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.

2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.

3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.

4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.

5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.

Kaka hd video inaanzia resolution ya 480p. So pengine hicho ndio kigezo chao. Specifically resolution ya kuanzia 480p ni hd ingawa kiuhalisia 480p sio picha angavu kivile. Ila ndio definition ya hd
 
Jinsi ya kuongeza frequeny kwenye azam tv
iliuweze kuongeza chanel ambazo utaweza
kuangalia mechi za UEFA,FA na
EPL.
recodmozambiq # 10963h3255

Shukrani Mkuu, nimeipata hiyo recodmozambiq kwa kutumia dish & decoder ya ZUKU.
 
teh teh teh mkuu,yule madau alie paste kule fb,alitoa huku izo frqnce ajabu leo uyo dogo kaja tena uku kutugea uo uozo, kwi kwi kwi kwi eti mkajaribu mnirudishie majibu.? Achen uzembe tafuta fqnce,big up CHIEF MKWAWA naona saiz uko vizur ktk hz mambo.

Chanel ziko zaidi ya 18 bahati mbaya umeme umekatika ukirudi nitaweka chanel zote ninazozipata ni nyingi sana
 
Last edited by a moderator:
Chanel ziko zaidi ya 18 bahati mbaya umeme umekatika ukirudi nitaweka chanel zote ninazozipata ni nyingi sana

Chaneli ziko 20 jumla,15 za video/TV na 5 za audio/radio ila hakuna ya Tanzania,kama unajua kiarabu na kifaransa ndio utafaid hizo radio
 
Chaneli ziko 20 jumla,15 za video/TV na 5 za audio/radio ila hakuna ya Tanzania,kama unajua kiarabu na kifaransa ndio utafaid hizo radio

Napata Chanel 32 za video kama ifuatavyo
VOX AFRICA
BENIE TV
FRANCE 24fre
CANAL 3Monde
Espace Tv
France 24eng
BVN
DW
NEW HORN TV
TV CONGO
RODGUES 1 mbc
Rodgues 2 mbc3
Muvi Combo
Muvi Muviz
RTS 1
RTVGE
CRTV
RECORD MOCA
BOX africa
Muvi TV
Africa Unite
CCTV 4
AL MADINA
CCTV 9
BUSINESS 24
CCTV F
CCTV NEWS
OCCA AFRICA1
SAMANYOLU TV
NHK WORLD SD
AFRIQUE MEDIA TV
TV MONDE 5

Ndizo zinapatikana wadau
 
Mkuu ningependa kujua unatumia king'amuz kipi,mim natumia cha Azam na kama unatumia pia cha Azam bas nitaomba unielekeze namna ya kuset frequencies maake mm nilifanikiwa 15 tu za video
 
Back
Top Bottom