More frequencies kwenye angle ya Azam please
Mkuu huyo jamaa ameuliza ktk angle ya azam je hizo za Amos zinashika hapohapo? ufafanuzi zaidi unahitajika ikiwezekana pia na maeneo mliopo! mfano zipo sat beams zinazopatikana mwanza lkn mikoa km dar au tanga hazipatikani
Hizi zinafanya kazi kwa decoder ya Azam au mpaka nifunge nyingine?
Mkuu huyo jamaa ameuliza ktk angle ya azam je hizo za Amos zinashika hapohapo? ufafanuzi zaidi unahitajika ikiwezekana pia na maeneo mliopo! mfano zipo sat beams zinazopatikana mwanza lkn mikoa km dar au tanga hazipatikani
Mkuu huyo jamaa ameuliza ktk angle ya azam je hizo za Amos zinashika hapohapo? ufafanuzi zaidi unahitajika ikiwezekana pia na maeneo mliopo! mfano zipo sat beams zinazopatikana mwanza lkn mikoa km dar au tanga hazipatikani
Mungu akubariki kk,nimepata chnl nyingi sana
katika angle ya azam waweza pata ses@5 ya zuku,azam yenyewe,na madagasca aka ku pas 7/10,hivyo kwa ku moja ya azam na decoda iyo iyo ukapata izo sat 3 na ukawa na chnl zaid ya 40 za bure.
Kwa nilivyokuelewa hapa inabidi nimtafute fundi aje anirekebishiea dish lishuke kwenye 5, maake mm sina huo utaalam wa kufunga na hata pia vifaa

Naona maswali mengi sana kuhusu sat beam,kama wataka jua kua sat unayo itaka inapatikana ulipo prease gonga hapaCoverage maps Intelsat 20 (IS-20) - 68.5 ° East, Coverage Maps - Satellite Intelsat 20 (IS-20), position of 68.5 degrees East