Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Ph-25 asante sana mkuu, nilianze kufuatilia hi thread tangu mwanzo na nashkuru post zako zinaeleweka vizuri..ila msaada kuna fundi unaemjua anaweza kufanya hivo? Kama unae naomba number ili tupate msaada mm na babu wa Loliondo

mi niko geita kwa sasa,naisi nyie mko dar.?
 
Tatizo pekee linaloiathiri Azam tv ni kukatika kwa matangazo yao wakati wa mvua. Hapa wanahitaji kufanya marekebisho muhimu ili kutoharibu mazuri tunayoyapata kupitia kwao. Hata wachina wa startimes wanawashinda kwakuwa matangazo yao hayakatiki wakati wa mvua.
Jambo lingine muhimu kufanywa na Azam tv ni kutangaza/kuweka wazi namba ya Simu kwa ajili ya huduma kwa wateja ili kunapokuwa na tatizo inakuwa rahisi kutoa taarifa.
Copy kwa Yahya Mohamed
 
Last edited by a moderator:

Suala la wao kukatika hewan wakati wa mvua ni kua signal yao iko chin sana 37% pia hilo ni tatizo kwa satelitte kwan mvua huathir sana utendaji kaz wake,huwez kuwafananisha na Star times ambao wao wanatumia antenal,namba zao hua wanaweka kwenye page yao ya FB jarib kutembelea kule!!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo pekee linaloiathiri Azam tv ni kukatika kwa matangazo yao wakati wa mvua. Hapa wanahitaji kufanya marekebisho muhimu ili kutoharibu mazuri tunayoyapata kupitia kwao. Hata wachina wa startimes wanawashinda kwakuwa matangazo yao hayakatiki wakati wa mvua.
Jambo lingine muhimu kufanywa na Azam tv ni kutangaza/kuweka wazi namba ya Simu kwa ajili ya huduma kwa wateja ili kunapokuwa na tatizo inakuwa rahisi kutoa taarifa.
Copy kwa Yahya Mohamed

huwezi kukwepa tatizo hilo hata kama unatumia dish la zege,si azam,dstv wote wakat wamvua signa zinasumbua,sababu ni nyingi sana na hii kwasababu wote wanatumia ku... Ni akili ya viroba pekee ndio inaweza fananisha azam na startimes. Hivi startimes wanatumia c band au ku band.?
 
Last edited by a moderator:
Kuna channel moja nimepata ya michezo naona kuna wacheza mpira wanafanya warm up, nlikuwa natafta Dubai one nkakutana nayo frequency zake ni 111444 H 05714 kwa Eutelsat 7A
Naona ni south africa nipo nachek league yao
 
Nimeipata mkuu
 
inauma sana kuona kazindogo kama iyo mtu anakuja kulipwa 40 elfu wakat hata wew unaweza ifanya.

Kaka unalosema kweli...next Sunday ntatoa uvivu nifanye kazi hio ila naomba uwe online unipe msada
 
Kuna channel moja nimepata ya michezo naona kuna wacheza mpira wanafanya warm up, nlikuwa natafta Dubai one nkakutana nayo frequency zake ni 111444 H 05714 kwa Eutelsat 7A
Naona ni south africa nipo nachek league yao

mkuu sijawaiona frqnce kama hio duniani embu iedit kwanza,alafu tuendelee.
 
Punguza 4 moja iwe 11144 H 05714 naona EARPHONE alinielewa na endelea kufaidi
 
Last edited by a moderator:
Punguza 4 moja iwe 11144 H 05714 naona EARPHONE alinielewa na endelea kufaidi

kumbuka sio kila mtu humu ni fundi,na haya mambo ya dish ukikosea kidogo hupati kitu,ndiomana tunawekana sawa humu ndani,asante mkuu kwakunielewa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom