droney
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 101
- 381
je iko on muda wote.?
receiver? Hapana, okay kama strength inaimarika kwa kuwa on mda wote, ntatafuta mda niijaribu. Thanx
je iko on muda wote.?
Mkuu Ph-25 naomba muongozo kidogo ni satelite ipi na ipi ambayo inakubali kwa uelekeo wa dish la Azam ili zoezi la kutafta frequency liwe rahisi maana nimehangaika mpaka kichwa kinaniuma kutafta channel za soka na nyinginezo
Na je kwa hizo satelite ukitoa Eutelsat sehemu hizi nijaze vipi?
LNB FREQ:
diseqc:
LNB POWER :
22K :
SWITCH PORT:
TORN BURST :
LOCATION:
LONGITUDE
mkuu hii imetokea leo kuanzia saa tisa mchana mpaka saizi hamna kitu.
geita hamna kitu kabisa,ukitaka kucheka wapigie huduma kwa wateja sasa utachekaje.?
Hahhahah wakoje?
kila muudumu ana jibu lake,nimeongea na waudumu 6 tofauti tofauti nimepewa majibu sita pia yote tofauti,mala ujalipia,dish limelegea, hujakaza nati,ungetumia waya mweupe,receiver ifactory, teh teh teh apa nilipo nimechoka balaa nawaza jinsi ya kupanda juu ya bati tu.